Bilionea Kuinunua Arsenal

Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger anajiandaa kujiunga na mpango wa kuinunua klabu hiyo pamoja bilionea Daniel Ek na wachezaji wake watatu wa zamani ili kushinikiza bilionea Hugo awese kuinunua klabu ya Arsenal kwa £1.8bn (BeIN Sports, via Mirror)

Leave a Comment