Breaking Newz
– Wengine watatu walipoteza maisha yao wakikimbizwa hospitali ya Mariakani huku wengine kadhaa ambao walijeruhiwa wakilazwa katika kituo hicho
– Waathiriwa walikuwa wakitoka katika hafla ya mazishi walipokumbana na mauti
Watu watano ambao walikuwa wakitoka mazishi wamepoteza maisha katika ajali ya kutisha barabarani huko Shangia kwenye Barabara Kuu ya Mombasa-Nairobi.
Alhamisi, Mei 6, ajali ilitokea wakati gari lililokuwa likisafirisha waombolezaji lilipogongana na trela ya mafuta iliyokuwa ikielekea Mariakani.
Ripoti ya Citizen TV ilionyesha watu wawili walifariki papo hapo na wengine watatu walipoteza maisha yao walipokuwa wakipelekwa hospitali ya Mariakani.How To Buy U.S.A Mega Millions Ticket From Your Mobile24lottosby TaboolaSponsored Links
Kulingana na kamanda wa polisi kaunti ndogo ya Kaloleni Ezekiel Chepkwony, watu waliojeruhiwa walilazwa katika hospitali ya Mariakani huku maiti wakisafirishwa hadi makafani ya hospitali ya rufaa ya Coast General.
“Dereva wa gari la kibinafsi alijaribu kulipita lori wakati gari la mafuta lilipotokea upande mwingine na kuligonga, na kuwaua wawili hapo hapo,” alisema Chepkwony.https://res.adx.opera.com/pagead/?w=328&h=0&pk=s3349331957248&ct=&uc=true&cc=US&lc=en&url=https%3A%2F%2Fcdn-af.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F163d39448d703f8c945b1dd04dd46a12%3Fac%3D3g%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&rf=&cst=UTF-8&title=V2F0dSA1IHdhZmFyaWtpIGR1bmlhIGthdGlrYSBhamFsaSB5YSBiYXJhYmFyYW5pIHdha2l0b2thIG1hemlzaGluaSAtIE9wZXJhIE5ld3MgT2ZmaWNpYWw%3D&vr=cdn-af.feednews.com&bl=en-US&sh=640&sw=360&sch=3051&scw=360&scl=0&sct=0&tz=GMT%2B0300&vph=523&vpw=360&debug=false
Katika kisa tofauti, TUKO.co.ke iliripoti kuwa familia ya Nairobi ilipoteza jamaa wawili kwa ajali ya barabarani walipokuwa wakirudi kutoka harusini.
Kulingana na mmoja wa jamaa wa familia hiyo kwa jina Brenda Mangoli, wawili hao walikuwa sehemu ya kundi la watano ambao walikuwa wakisafiri katika gari moja kabla ya ajali hiyo kutokea Jumamosi, Oktoba 3, 2021.https://res.adx.opera.com/pagead/?w=328&h=0&pk=s3480327769472&ct=&uc=true&cc=US&lc=en&url=https%3A%2F%2Fcdn-af.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F163d39448d703f8c945b1dd04dd46a12%3Fac%3D3g%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&rf=&cst=UTF-8&title=V2F0dSA1IHdhZmFyaWtpIGR1bmlhIGthdGlrYSBhamFsaSB5YSBiYXJhYmFyYW5pIHdha2l0b2thIG1hemlzaGluaSAtIE9wZXJhIE5ld3MgT2ZmaWNpYWw%3D&vr=cdn-af.feednews.com&bl=en-US&sh=640&sw=360&sch=3051&scw=360&scl=0&sct=0&tz=GMT%2B0300&vph=523&vpw=360&debug=false
Ajali mbaya ilitokea chini ya daraja la Delarue and Drive-Inn wakati dereva alipunguza kasi yake alipofika kwenye tuta kabla ya gari lingie kutoka nyuma na kumgonga.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=4256911181&adk=690765048&adf=422440509&pi=t.ma~as.4256911181&w=300&fwrn=7&lmt=1620373551&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fcdn-af.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F163d39448d703f8c945b1dd04dd46a12%3Fac%3D3g%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620373548955&bpp=9&bdt=9058&idt=2732&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250%2C300x250&nras=1&correlator=3838826388590&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620373551&ga_hid=1596431397&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=2652&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739521%2C31060474&oid=3&pvsid=1468814754124987&pem=855&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=4&uci=a!4&btvi=2&xpc=PzLvlftWcH&p=https%3A//cdn-af.feednews.com&dtd=2761
Vivyo hivyo, watu tisa walifariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuhusika katika ajali ya barabarani asubuhi kwenye barabara kuu ya Nakuru-Nairobi.
Vivyo hivyo, watu tisa walifariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuhusika katika ajali ya barabarani asubuhi kwenye barabara kuu ya Nakuru-Nairobi.
Ajali iliyotokea karibu na mji wa Gilgil ilihusisha matatu na trela.