
Baada ya mechi ya watani wa jadi inayowahusu Simba vs Yanga kuingia dosari Leo, kizaazaa kimefikia ambapo mashabiki wamegoma kutoka uwanjan na kudai warudishiwe pesa zao ikawaradhimu police kutumia mabomu ya machozi kuwatawanyisha mashabiki ao kwa uzembe uliofanya na Chama cha soka Tanzania nini kifanyike.