
Kupitia tovuti ya mawasiliano ya Chama cha soka Tanzania TFF Kimetoa tangazo la kubadirisha ratiba ya mechi ya soka kati ya Yanga na Simba ambapo ilitakiwa kuchezwa SAA 11 jioni sasa itachezwa SAA 1 usiku.
TFF imesema imepokea Mabadiriko hayo kutoka kwa wizara ya afya ,tamaduni na Michezo na Klabuni zote zimeshajulishwa kuhusu Mabadiriko hayo.