Ratiba ya ligi Kuu soka Tanzania Bara U20

Ratiba mpya ya ligi Kuu ya vijana Tanzania U20 ,imetolewa ambapo Ruvushooting vs Yanga

Mbeya city vs Simba

Coastal union vs young African

Mtibwa sugar vs KMC

Prisons vs Ihefu fc

Ratiba iyo itaanza tarehe 09/05/2021 na mechi ya mwisho itachezwa tarehe 11/05/2021

Leave a Comment