Simulizi ya Kudikitisha: Afanywa Mzukule Kwa Miezi 4

Shija Peter, mwananchi anayedai kuchukuliwa msukulehttps://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=6310719999&adk=3451024743&adf=1714497853&pi=t.ma~as.6310719999&w=300&fwrn=7&lmt=1620467148&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F5afe3af92cee0a528cfbc6c9ce950266%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DHOME_PAGE_4854b923-d763-4983-87bf-49fe1cfe21ad%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620467146706&bpp=33&bdt=7456&idt=1588&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=6901179476495&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620467148&ga_hid=1262803765&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=82&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=1011&eid=44739521%2C31060474&oid=3&pvsid=3199076192840387&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeE%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=2&uci=a!2&xpc=WgJLGd56Fe&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1670

Jeshi la polisi wilayani Magu mkoani Mwanza limemuokoa kwenye mikono ya wananchi wenye hasira kali Salome James, mkazi wa Kijiji cha Sato anayedaiwa kuwafanya misukule baadhi ya wakazi wa kijiji hicho na kuwatumikisha kwenye mashamba yake.

Akizungumza mbele ya wakazi wa kijiji hicho, mmoja wa vijana waliopotezwa na kufanywa msukule, anayeulikana kwa la Shija Peter, amedai kuwa aligeuzwa msukule kwa muda wa miezi minne na mama huyo na kusema kuwa alikuwa analazwa sehemu moja na fisi na kunyweshwa uji huku familia yake ikiwa haijui mahali alipo.

“Nilikuwa na suruali nyeupe na shati nikanyang’anywa nikabaki na bukta, asubuhi tulikuwa tunachukuliwa tunapelekwa shambani kulima, tulikuwa tunalima mchana na usiku lakini kula hakuna tunakorogewa na uji na usiku tunatembezwa kwenye majumba ya watu kutafuta chakula na tulikuwa tunapakwa madawa”, ameeleza Shijahttps://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=8179441687&adk=369731748&adf=2791881765&pi=t.ma~as.8179441687&w=300&fwrn=7&lmt=1620467148&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F5afe3af92cee0a528cfbc6c9ce950266%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DHOME_PAGE_4854b923-d763-4983-87bf-49fe1cfe21ad%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620467146739&bpp=40&bdt=7489&idt=1702&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250&nras=1&correlator=6901179476495&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620467148&ga_hid=1262803765&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=1005&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=1011&eid=44739521%2C31060474&oid=3&pvsid=3199076192840387&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeE%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=3&uci=a!3&xpc=vMh0vZCQ00&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1744

Kwa upande wake Seko Nyabanya, ambaye ni mganga wa jadi aliyefanikiwa kumtoa katika hali ya msukule kijana Shija Peter, ameeleza hali aliyokuwa nayo kijana huyo kabla na baada ya kumrudisha katika hali yake ya kawaida na kuweza kujitambua.

CHANZO – EATV

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yakohttps://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=375&slotname=7825531549&adk=3882026931&adf=3778546804&pi=t.ma~as.7825531549&w=360&lmt=1620467149&rafmt=11&psa=1&format=360×375&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F5afe3af92cee0a528cfbc6c9ce950266%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DHOME_PAGE_4854b923-d763-4983-87bf-49fe1cfe21ad%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&fwr=1&wgl=1&dt=1620467146780&bpp=116&bdt=7530&idt=2248&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250%2C300x250&nras=1&correlator=6901179476495&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620467148&ga_hid=1262803765&ga_fc=0&rplot=4&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=0&ady=1616&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=1066&eid=44739521%2C31060474&oid=3&pvsid=3199076192840387&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=128&bc=29&ifi=4&uci=a!4&btvi=1&xpc=BLGY3dCwli&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=2295

Kisa Chenye Mafuzo -Albino Aliyetelekezwa China

Wakati Xueli alipokuwa mtoto, wazazi wake walimtelekeza katika bustani ya nyumba ya kulelea yatima. Nchini China, kuwa albino ni laana. Hali hiyo adimu ya kimaumbile imemfanya msichana huyo kuwa na ngozi na nywele tofauti.Na kumfanya kuwa makini sana na mwanga wa jua.

Lakini muonekano wake wa tofauti umemuwezesha kufanikiwa kuingia katika tasnia ya ulimbwende . Sasa ana miaka 16 na ameweza kuonekana kwenye jarida maarufu duniani la Vogue na katika kampeni nyingi za matangazo ya wabunifu wengi wa kubwa.

Kituo cha yatima walimpa jina la Xue Li. Xue ikimaanisha theluji na Li mrembo. Niliasiliwa nikiwa na miaka mitatu na kwenda kuishi na mama na dada zangu huko Netherlands.

Mama yangu alisema hakuna jina zuri zaidi kwangu kuliko nililokuwa nalo. Nilidhani ni vyema kuendelea kutunza kumbukumbu ya eneo nililotoka. Wakati nilipozaliwa nchini China, serikali ilikuwa imeweka sheria ya kila familia kuwa na mtoto mmoja.

Hivyo ilikuwa ni bahati mbaya sana kwa mtu kuwa na mtoto mwenye ualbino. Kuna wengine kama mimi walitelekezwa , wengine walifungiwa na kama wakipelekwa shule, nywele zao zilipakwa rangi.

Lakini katika baadhi ya mataifa ya Afrika, albino wanauawa, viungo vyao vinakatwa. Waganga wa kienyeji wanatumia mifupa yao kutengeneza dawa, huku watu wengi wakiamini kuwa ni tiba.

Lakini si kweli, hizo ni imani potofu tu. Nilikuwa na bahati kuwa nilitelekezwa. Wazazi wangu wa asili hawakuacha taarifa kuhusu mimi hivyo sijui hata siku yangu ya kuzaliwa ni lini.

Lakini mwaka mmoja uliopita nilifanyiwa X-ray katika mkono wangu na wakapata wazo la lini nilizaliwa na daktari alidhani kuwa ni karibu na miaka 15 iliyopita.

Nilianza kazi ya ulimbwende nikiwa na miaka 11 . Mama yangu aliwasiliana na mbunifu ambaye alikuwa na asili ya Hong Kong.

Aliamua kubuni mitindo ya nguo kwa ajili yangu ambayo iliniacha watu wengi kuwa mdomo wazi. Aliita kampeni yake “perfect imperfections” na aliniuliza kama ninaweza kwenda kwenye maonesho Hong Kong. Nilifurahia sana.

Baada ya hapo nilialikwa katika kazi nyingi za picha na moja ilikuwa ya Brock Elbank huko London. Aliweka picha zangu nyingi mtandaoni na wakala wa walimbwende Zebedee aliwasiliana name kuniomba kama ntaweza kujumuika katika mradi wa walemavu katika sekta ya fasheni.

Picha moja ilitoka kwenye jarida la Italia la Vogue mwaka 2019.

Wakati huo sikujua umuhimu wa jarida lile na ilinichukua muda kuelewa kwanini watu wamefurahi sana kuhusu mimi kuonekana katika jarida lile. Katika ulimbwende, kuonekana tofauti ni baraka na sio laana na nmepata jukwaa la kuwaelimisha watu kuhusu ualbino.

Kampeni ya Kurt Geiger ni mfano mzuri unaoruhusu kuonesha utofauti wangu. Ninaweza kujielezea namna nnavyoweza na ninajivunia na matokeo yake. Walimbwende wenye ualbino mara nyingi huwa wanapewa taswira za kusadikika kama malaika au shetani, na jambo hilo linanisikitisha.

Haswa kwasababu ya imani potofu ambazo zimeweka hatarini maisha ya watoto wenye ualbino katika nchi kama Tanzania na Malawi. Anasema anapenda ulimbwende kwa kuwa unampa fursa ya kukutana na watu wapya, kujifunza kiingereza na kuona watu wakifurahi kuona picha zake.https://www.youtube.com/embed/x_7oaxUtp2k

Mwamuzi Simba V/s Yanga ni Mali ya Yanga

MWAMUZI wa mchezo kati ya Simba na Yanga, Emmanuel Mwandembwa, ni mali ya Yanga kutokana na michezo yote ya Yanga aliyoichezesha timu hiyo kuondoka na pointi zote tatu, huku Simba wakishindwa.

Mwandembwa ameonekana kumudu presha ya michezo mikubwa kwa msimu huu na kuchaguliwa kusimamia mchezo huo ambao utapigwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar.

Waamuzi wengine watakaomsaidia Mwandembwa katika mchezo huo ni Frank Komba, Hamdani Saidi, na Ramadhan Kayoko.

Takwimu zinaonyesha kuwa mwamuzi huyo amechezesha mechi mbili za Yanga, dhidi ya Azam na Biashara United ambapo Yanga waliibuka na ushindi wa bao 1-0 katika kila mchezo.

Katika michezo ya Simba aliyochezesha msimu huu, Mwandembwa ilikuwa dhidi ya Tanzania Prisons (1-1) na Dodoma Jiji (3-1).

Katika michezo aliyochezesha mwamuzi huyo kwa msimu huu Simba imevuna pointi nne huku Yanga wakifanikiwa kuchukua zote sita na hivyo takwimu zinaonyesha kuwa ana bahati zaidi na Yanga.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Soud Abdi, akizungumza kabla waamuzi hao hawajatajwa alisema: “Katika mchakato wa kumtafuta mwamuzi wa mchezo huo, tunaangalia ni yupi alikuwa na mwenendo mzuri kwa siku za karibuni.

Wizi wa Vifaa Daraja la JPM ,8 Wakamatwa

Baada ya taarifa kuwa kuna wizi wa vifaa kwenye ujenzi wa mradi wa Daraja la JPM linalojengwa kati ya Kigongo na Busisi, Kamanda wa Polisi Mwanza Jumanne Muliro amefika ofisi ya Mkandarasi akiwa na kikosi kazi maalumu na kumuuliza maswali ya papo kwa papo na tayari wanawashikilia watu nane wa kuhujumu miundombinu ya mradi wa ujenzi wa Daraja.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=300&slotname=6310719999&adk=1073913990&adf=55539757&pi=t.ma~as.6310719999&w=360&lmt=1620465730&rafmt=1&armr=1&psa=1&format=360×300&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Ff59c018a8590d6ae4032ee8b1305747b%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_c93dd060-e921-465a-af26-9ba3645a6a27%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&fwr=1&rs=1&rh=250&rw=300&rpe=1&resp_fmts=3&sfro=1&wgl=1&dt=1620465729624&bpp=82&bdt=3510&idt=1357&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=5311616995286&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620465731&ga_hid=1164005631&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=0&ady=652&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739521%2C31060474&oid=3&pvsid=2536558062732217&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=128&bc=29&ifi=2&uci=a!2&btvi=1&xpc=q6tRwnYcSP&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1447https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=375&slotname=7825531549&adk=3882026931&adf=3968692690&pi=t.ma~as.7825531549&w=360&lmt=1620465731&rafmt=11&psa=1&format=360×375&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Ff59c018a8590d6ae4032ee8b1305747b%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_c93dd060-e921-465a-af26-9ba3645a6a27%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&fwr=1&wgl=1&dt=1620465729707&bpp=33&bdt=3594&idt=1475&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C360x300&nras=1&correlator=5311616995286&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620465731&ga_hid=1164005631&ga_fc=0&rplot=4&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=0&ady=957&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739521%2C31060474&oid=3&pvsid=2536558062732217&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=128&bc=29&ifi=3&uci=a!3&btvi=2&xpc=Udd2tlbNAf&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1522

Recodi za Derby zambeba Kocha Yanga (Nebi)

nabi pic

ANATOBOA hatoboi? Hilo ndilo linaloweza kuwa swali linalowachanganya mashabiki wa Yanga kwa sasa wakisaliwa saa chache tu kabla ya kumshuhudia Kocha Nasreddine Nabi akiwaongoza vijana wake kwenye mechi yake ya kwanza ya Kariakoo Dabi dhidi ya Simba.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=6310719999&adk=766198258&adf=933545141&pi=t.ma~as.6310719999&w=300&fwrn=7&lmt=1620465635&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F293398635d2b237ad1c68eb720f8f137%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_c93dd060-e921-465a-af26-9ba3645a6a27%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620465634163&bpp=31&bdt=3378&idt=1555&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=8742215860375&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620465635&ga_hid=489902389&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=460&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739548%2C44739524%2C31060711%2C31060474&oid=3&pvsid=3467371869281102&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeE%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=2&uci=a!2&xpc=wT9wZ60Cp3&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1643

Rekodi tamu za makocha waliomtangulia kwenye mapambano ya watani wa jadi, imewatia nguvu Wanayanga wakiamini Nabi naye huenda akatoboa, lakini wakiata ubaridi fulani wakiufikiria mziki wa Msimbazi unaoongoza msimamo wa Ligi Kuu, ikifunga pia mabao kibao.

Ni hivi. Kocha Nabi anaweza kuendeleza au kukutana na mwisho wa nyota ya bahati ambayo makocha wapya wa Yanga wamekuwa nayo katika miaka ya hivi karibuni dhidi ya Simba katika mchezo wa watani wa jadi utakaochezwa leo Jumamosi, kwenye Uwanja wa Mkapa.

Bahati hiyo ni ile ya Yanga kutopoteza mechi dhidi ya Simba huku wakiwa na kocha anayeiongoza kwa mara ya kwanza katika mechi inayozikutanisha timu hizo mbili kubwa nchini katika mashindano tofauti.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=8179441687&adk=1315848575&adf=1798461539&pi=t.ma~as.8179441687&w=300&fwrn=7&lmt=1620465635&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F293398635d2b237ad1c68eb720f8f137%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_c93dd060-e921-465a-af26-9ba3645a6a27%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620465634194&bpp=81&bdt=3409&idt=1780&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250&nras=1&correlator=8742215860375&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620465635&ga_hid=489902389&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=1311&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739548%2C44739524%2C31060711%2C31060474&oid=3&pvsid=3467371869281102&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=3&uci=a!3&btvi=1&xpc=Q0IxmcYtng&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1824

Ingawa Simba imekuwa ikipata ushindi dhidi ya Yanga mara kadhaa katika miaka ya hivi karibuni, watetezi hao wa misimu mitatu mfululizo wameshindwa kuifunga Yanga pindi inapokuwa na kocha mpya akiwa analiongoza kwa mara ya kwanza benchi la ufundi la timu hiyo.

Upepo wa bahati kwa makocha wapya wa Yanga ulianzia kwa Mwinyi Zahera ambaye miezi minne baada ya kupewa kibarua cha kuinoa timu hiyo, aliishangaza Simba kwa kulazimisha nayo sare tasa katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu uliochezwa Septemba 30, 2018. Licha ya kutopewa nafasi kubwa ya kupata hata sare katika mechi hiyo, Yanga ilionekana kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu na kuifanya Simba iliyokuwa na kikosi chenye washambuliaji walio na uchu wa kufumania nyavu itoke patupu.Are you from Tanzania, United Republic Of? You might qualify for an Online Degree at an American UniversiAmerican Universities For Online Degreesby TaboolaSponsored Links

Baada ya Yanga kuachana na Zahera, Novemba 8, 2019 ilimchukua nyota wake wa zamani, Boniface Mkwasa na kumpa jukumu la kuwa kocha wa muda wa kikosi ambacho Januari 4, 2020 kilikabiliwa na watani wa jadi wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu 2019/2020. Pamoja na Simba kutangulia kufunga mabao mawili katika mchezo huo ambao ulionekana wangeweza kuibuka na ushindi, Yanga iliwashangaza kwa kusawazisha kupitia kwa Mapinduzi Balama na Mohamed Hussein aliyejifunga na kufanya umalizike kwa sare ya mabao 2-2, huku yale ya Simba yakifungwa na Meddie Kagere na Deo Kanda. Mkwasa baada ya kuiongoza kwa muda Yanga, nafasi yake ilichukuliwa na kocha Mbelgiji, Luc Eymael ambaye kibarua chake cha kwanza dhidi ya Simba kilikuwa ni mechi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu uliochezwa Machi 8, 2020.

Katika mchezo huo, Simba ililala kwa bao 1-0 lililopachikwa na winga Bernard Morrison kwa mkwaju wa faulo uliotokana na faulo ambayo ilitolewa na refa Martin Saanya baada ya Jonas Mkude kumfanyia faulo nyota huyo wa Ghana.https://res.adx.opera.com/pagead/?w=328&h=0&pk=s3349331957248&ct=&uc=true&cc=US&lc=en&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F293398635d2b237ad1c68eb720f8f137%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_c93dd060-e921-465a-af26-9ba3645a6a27%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&rf=&cst=UTF-8&title=UmVrb2RpIHphbWJlYmEgTmFiaSBEZXJieSAtIE9wZXJhIE5ld3MgT2ZmaWNpYWw%3D&vr=stories.6chcdn.feednews.com&bl=en-US&sh=640&sw=360&sch=4692&scw=360&scl=0&sct=0&tz=GMT%2B0300&vph=523&vpw=360&debug=false

Baada ya Eymael, Yanga ilimleta kocha Zlatko Krmpotic ambaye yeye hakupata fursa ya kukutana na Simba kwani aliiongoza timu hiyo katika mechi tano tu za Ligi Kuu na baada ya hapo akaonyeshwa mlango wa kutokea.

Kuondoka kwa Krmpotic kulifungua milango kwa Cedric Kaze ambaye kibarua chake cha kwanza dhidi ya Simba kilikuwa ni Novemba 7 ambapo aliiongoza timu yake kulazimisha sare ya bao 1-1, Yanga ikitangulia kupata bao la penalti ya Michael Sarpong, kisha Joash Onyango akasawazisha. Kwa rekodi hizo za makocha wa Yanga wanapovaana na Simba na kutofungwa inasubiriwa kuonwa kwa Nabi ambaye ndiye anaongoza jahazi la Jangwani.https://res.adx.opera.com/pagead/?w=328&h=0&pk=s3480327769472&ct=&uc=true&cc=US&lc=en&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F293398635d2b237ad1c68eb720f8f137%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_c93dd060-e921-465a-af26-9ba3645a6a27%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&rf=&cst=UTF-8&title=UmVrb2RpIHphbWJlYmEgTmFiaSBEZXJieSAtIE9wZXJhIE5ld3MgT2ZmaWNpYWw%3D&vr=stories.6chcdn.feednews.com&bl=en-US&sh=640&sw=360&sch=4692&scw=360&scl=0&sct=0&tz=GMT%2B0300&vph=523&vpw=360&debug=false

Nyota wa zamani wa kimataifa aliyewahi kukipiga Simba na Yanga, Mohammed Hussein ‘Mmachinga’ alisema mechi ya kesho ni ngumu kuitabiri, lakini akizungumzia juu ya matokeo ya Yanga dhidi ya Simba hasa pale turufu inpoonekana kuwang’aria Msimbazi na kibao kubadilika.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=4256911181&adk=2611614082&adf=32095168&pi=t.ma~as.4256911181&w=300&fwrn=7&lmt=1620465636&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F293398635d2b237ad1c68eb720f8f137%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_c93dd060-e921-465a-af26-9ba3645a6a27%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620465634275&bpp=6&bdt=3490&idt=2170&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250%2C300x250&nras=1&correlator=8742215860375&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620465635&ga_hid=489902389&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=3644&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739548%2C44739524%2C31060711%2C31060474&oid=3&pvsid=3467371869281102&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=4&uci=a!4&btvi=2&xpc=qacZcaf7Ll&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=2230

Mshambuliaji huyo na Mfungaji Bora wa muda wote katika Ligi Kuu Bara, alisema kujiamini kupitiliza ndiko kumekuwa kukiwaponza Simba tofauti na Yanga ambao huwa wanacheza kwa nidhamu na juhudi kubwa katika mechi hizo.

“Yanga huwa haipewi nafasi hivyo wachezaji wanajikuta na ile ari na morali ya kujituma ili kuthibitisha kuwa wao sio wanyonge ndio huwa inawafanya wapate matokeo mazuri lakini Simba huwa wanahisi watapata ushindi kirahisi hivyo inapelekea washindwe kupata kile wanachokitegemea,” alisema Mmachinga.

Tshishimbi: Simba Itashinda Leo

papy pic

NAHODHA wa zamani wa Yanga, Papy Tshishimbi amesema pambano la watani wa jadi litakalopigwa leo Mei 8 saa 11:00 jioni timu itakayokuwa imefanya maandalizi itakaibuka na ushindi, lakini kaongeza kuwa Simba ya sasa mziki wake ni mnene na Yanga lazima ijipange.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=6310719999&adk=766198258&adf=933545141&pi=t.ma~as.6310719999&w=300&fwrn=7&lmt=1620465502&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Fb796af043f174fc1892b968e29fb07e0%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_1015a8a4-e7eb-4b5e-ae75-bfb0c8afd077%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620465486274&bpp=105&bdt=5627&idt=16427&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=191119235815&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620465487&ga_hid=1841608329&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=436&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739521%2C31060474&oid=3&pvsid=923550250217548&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=2&rsz=%7C%7CoeEr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=2&uci=a!2&xpc=gNqdd92l5T&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=16823

Simba na Yanga zinavaana kwenye pambano la 106 katika Ligi ya Bara tangu 1965, huku Jangwani wakiwa vinara kwa kushinda mara 37 dhidi ya 31 za Msimbazi na mechi 37 zikiisha kwa sare, lakini timu zote zikiwa kwenye vita ya kuwania ubingwa Ligi Kuu.

Akizungumza na Mwanaspoti kutoka DR Congo, Tshishimbi anayekipiga AS Vita, alisema amekuwa akifuatilia kwa karibu timu hizo na kwa kulinganisha vikosi hivyo, Simba wako bora zaidi ya Yanga kutokana na mafanikio iliyopata mfululizo katika michuano ya ndani na kimataifa.

“Yanga sio kama wapo vibaya. Hapana! Ila ni kwamba timu haijatulia na imekosa utulivu, lakini wana uwezo wa kuwapa ushindani wa kutosha Simba kama ilivyokuwa katika mchezo wa kwanza ulioisha kwa sare ya 1-1,” alisema.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=8179441687&adk=1315848575&adf=1798461539&pi=t.ma~as.8179441687&w=300&fwrn=7&lmt=1620465503&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Fb796af043f174fc1892b968e29fb07e0%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_1015a8a4-e7eb-4b5e-ae75-bfb0c8afd077%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620465486379&bpp=33&bdt=5733&idt=17098&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250&nras=1&correlator=191119235815&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620465487&ga_hid=1841608329&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=1263&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739521%2C31060474&oid=3&pvsid=923550250217548&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=3&uci=a!3&btvi=1&xpc=jEkvROz3Bd&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=17167

“Mtazamo wangu haitakuwa mechi rahisi kwa Simba au Yanga kwani wote wawili wanapambania ubingwa na yule ambaye atapoteza huenda akajiongezea ugumu. Ila kwa aina ya vikosi, Simba wapo vizuri. Hata hivyo mara nyingi timu kubwa zinapokutana hata kama kuna moja haipo vizuri inakuwa tofauti ila ile ambayo itashinda inatokana na kufanya maandalizi ya kutosha pamoja na bahati.”

Tshishimbi alikuwa kwenye kikosi kilichoifunga Simba bao 1-0 katika Ligi Kuu Bara mechi iliyopigwa Machi 8, 2020, mfungaji akiwa ni Bernard Morrison.Are you from Tanzania, United Republic Of? You might qualify for an Online Degree at an American UniversiAmerican Universities For Online Degreesby TaboolaSponsored Links

Hata hivyo, nyota wa zamani wa Yanga, Sekilojo Chambua alisema mechi hiyo mara zote huwa ngumu licha ya kwamba kunaweza kuwepo moja ya timu kuonekana haifanyi vizuri wakati huo.

Chambua alisema wakati huu Yanga hawapo imara, lakini wanaweza kubadilika katika mchezo huo dhidi ya Simba mpaka wakashangaza mashabiki wengi wa soka.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=375&slotname=7825531549&adk=3882026931&adf=3778546804&pi=t.ma~as.7825531549&w=360&lmt=1620465503&rafmt=11&psa=1&format=360×375&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Fb796af043f174fc1892b968e29fb07e0%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_1015a8a4-e7eb-4b5e-ae75-bfb0c8afd077%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&fwr=1&wgl=1&dt=1620465486412&bpp=33&bdt=5766&idt=17496&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250%2C300x250&nras=1&correlator=191119235815&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620465487&ga_hid=1841608329&ga_fc=0&rplot=4&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=0&ady=2537&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739521%2C31060474&oid=3&pvsid=923550250217548&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=128&bc=29&ifi=4&uci=a!4&btvi=2&xpc=lMLD4Vi2D4&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=17537

Mbunge CCM Aingia Mitini wakati wa Kuchangia Hoja

Friday May 07 2021
ndugaipic
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza alipokuwa akiongoza kikao cha Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
New Content Item (1)

By Habel Chidawali

Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema mbunge wa Chemba (CCM),  Mohamed Lujuo Moni ni msumbufu kwa sababu huwa anajiandikisha kwa ajili ya kuchangia mijadala bungeni na muda wake ukifika huwa haonekani.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=6310719999&adk=2325624191&adf=1214513578&pi=t.ma~as.6310719999&w=300&fwrn=7&lmt=1620460743&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F52c92614025a718e6a5dfb13cf7133bd%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_cd1b17b4-47f3-40ab-8a7b-3a155e573c45%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620460740522&bpp=65&bdt=9013&idt=2580&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=7529447197964&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620460742&ga_hid=2086699756&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=783&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=171&eid=44739521%2C31060474%2C31060566&oid=3&pvsid=3010638227661889&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=2&uci=a!2&btvi=1&xpc=ykjjX2OgCq&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=2744

Kutokana na hilo, Ndugai  amemuomba katibu wa wabunge wa CCM bungeni kutopeleka jina la Moni kwa ajili ya kuchangia  kwa sababu anaondoka kabla ya muda wake kufika.

Kauli hiyo ya Ndugai aliyoitoa leo Ijumaa Mei 7, 2021 bungeni mjini Dodoma imekuja baada ya kumuita mbunge huyo ilipofika zamu yake ya kuchangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maji mwaka 2021/22 lakini hakuwepo kwenye ukumbi wa Bunge.

“Katibu wa wabunge wa CCM msiwe mnaniletea jina la Moni, imekuwa ni tabia yake mara kadhaa anajiandikisha lakini unapofika wakati wa kuchangia huwa haonekani ukumbini,” amesema Ndugai.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=375&slotname=7825531549&adk=3882026931&adf=461091818&pi=t.ma~as.7825531549&w=360&lmt=1620460743&rafmt=11&psa=1&format=360×375&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F52c92614025a718e6a5dfb13cf7133bd%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_cd1b17b4-47f3-40ab-8a7b-3a155e573c45%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&fwr=1&wgl=1&dt=1620460740588&bpp=99&bdt=9080&idt=2846&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250&nras=1&correlator=7529447197964&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620460742&ga_hid=2086699756&ga_fc=0&rplot=4&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=0&ady=1514&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=171&eid=44739521%2C31060474%2C31060566&oid=3&pvsid=3010638227661889&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=128&bc=29&ifi=3&uci=a!3&btvi=2&xpc=XKdBz9DU4z&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=2961

Kikosi cha Yanga Kinachotarajiwa Kuanza dhidi ya Simba


KIKOSI cha Yanga kinachotarajiwa kuanza meo Uwanja wa Mkapa.dhidi ya Simba, Mei 8, kwa mujibu wa gazeti la Championi Jumamosi:-

Metacha Mnata 

Lamine Moro 

Adeyum Saleh 

Kibwana Shomari 

Abdallah Shaibu 

Mukoko Tonombe 

Fei Toto 

Ditram Nchimbi 

Saido Ntibanzokiza 

Tuisila Kisinda 

Yacouba Songnehttps://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=300&slotname=6310719999&adk=1073913990&adf=55539757&pi=t.ma~as.6310719999&w=360&lmt=1620459946&rafmt=1&armr=1&psa=1&format=360×300&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F31ff47505cf5f3a676c1cdcce1a3395f%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_cd1b17b4-47f3-40ab-8a7b-3a155e573c45%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&fwr=1&rs=1&rh=250&rw=300&rpe=1&resp_fmts=3&sfro=1&wgl=1&dt=1620459945402&bpp=26&bdt=13985&idt=890&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=3016646234773&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620459946&ga_hid=590742431&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=0&ady=1009&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=147&eid=44739524%2C31060474&oid=3&pvsid=2536870536366559&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=128&bc=29&ifi=2&uci=a!2&btvi=1&xpc=eFCLCq89Og&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=949https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=375&slotname=7825531549&adk=3882026931&adf=3968692690&pi=t.ma~as.7825531549&w=360&lmt=1620459946&rafmt=11&psa=1&format=360×375&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F31ff47505cf5f3a676c1cdcce1a3395f%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_cd1b17b4-47f3-40ab-8a7b-3a155e573c45%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&fwr=1&wgl=1&dt=1620459945428&bpp=35&bdt=14011&idt=1000&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C360x300&nras=1&correlator=3016646234773&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620459946&ga_hid=590742431&ga_fc=0&rplot=4&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=0&ady=1314&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=147&eid=44739524%2C31060474&oid=3&pvsid=2536870536366559&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=128&bc=29&ifi=3&uci=a!3&btvi=2&xpc=XOLsmLkh8t&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1045

Shabiki wa Yanga Alietoka Kigoma Kwa Miguu Akwama Morogoro

Shabiki wa Yanga Mwanariadha Mang’suli Hussein (45) wa Manispaa ya Kigoma ujiji aliyeamua kukimbia kwa miguu kutoka Kigoma kuanzia April 15 kuelekea Dar es Salaam kutazama Mechi ya Yanga vs Simba mwezi May, amewasili Morogoro usiku wa kuamkia leo lakini amesema anaumwa tumbo na kusema hiyo itamfanya achelewe kufika Dar es salaam.

Tayari ametumia siku 20 tangu aanze safari yake na tarehe ya kufika Dar es Salaam ameibadilisha kutokana na kusumbuliwa na tumbo kwa sasa matarajio yake ni kufika Dar es salaam May 07,2021.

Anthony Davis Expected To Play Friday Despite Leaving Thursday’s Game With Back Spasms

Anthony Davis exited the Los Angeles Lakers’ loss on Thursday at the Los Angeles Clippers with back spasms, but he’s expected to play in a key game at the Portland Trail Blazers on Friday.

The Lakers are currently seeded No. 6 ahead of Portland and the winner of Friday’s game will hold the tiebreaker. 

Davis played nine minutes in the first quarter. Davis has played in eight games since missing nine weeks due to a calf strain and Achilles tendinosis in his right leg. 

Davis said he expects to play against the Blazers in what he dubbed “probably the biggest game” out of the six dates remaining on the Lakers’ regular-season schedule.