Bahati au Tamaa? Jinsi watu hawa walivyokosa kupewa kiasi kikubwa cha fedha na wengine wakaachwa na majuto

PESA

Kupata pesa nyingi ama utajiri wa haraka huwa matamanio ya watu wengi . Walakini kunao watu ambao kiasi kikubwa cha fedha nusura kiingie mifukoni mwao lakini hawakuzipata kwa kuzikataa wakitaka kupewa zaidi au bahati haikutengenea.

Hii hapa orodha yawatu ambao wamezinusia pesa hizo lakini hazikuwafikia .Aliyetukumbusha hili maajuzi ni raia wa Afrika Kusini Nkosana Makate ambaye alivumbua huduma ya ‘please call me’ iliyotumiwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom .

Nkosana alidai mwaka wa 2016 kwamba uvumbuzi wake uliipa Vodacom dola bilioni 5 na yeye anataka asilimia 15 ya fedha hizo .

Nkosana Makate (Shilingi Milioni 354)

Nkosana Makate, mwanzilishi wa huduma ya simu, ‘Tafadhali Nipigie simu’ anadai jumla ya Sh75 bilioni kama fidia kutoka kwa kampuni ya Vodacom.

Kampuni ya Vodacom mwanzoni ilikuwa imekubali kulipa Makate Sh354 milioni ambayo alikataa. Mzozo wa kampuni hiyo na mvumbuzi Makate upo kortini .

Huduma ya ‘Tafadhali Nipigie’ ililetwa sokoni kwa mara ya kwanza mnamo 2001. Hii ni huduma ya sms ya bure ambayo inaruhusu wateja kutuma ujumbe kwa mtumiaji mwingine anayeomba apigiwe simu.

Nkosana Makate has said he believes his invention has generated $5bn (£3bn) for Vodacom

Mvutano kati ya Makate na Vodacom umekuwa ukifanyika kwa zaidi ya miaka 20 sasa .

Korti imetakiwa kutathini upya fidia aliyopewa kama ilivyohesabiwa na mtendaji mkuu wa Vodacom Shameel Joosub.

Hii ilifuata uamuzi wa Mahakama ya Katiba mnamo 2016 ambapo Vodacom iliamriwa kufanya mazungumzo na Makate ili kupata fidia ya haki.

Wakili Gilbert Marcus, ambaye alianza vita vya kisheria kwa niaba ya Makate, alisema hakutumia neno “usaliti” kwa wepesi , lakini hii ilikuwa hivyo kwa sababu mteja wake alisalitiwa . Alisema kuwa wakati Vodacom ilikuwa ikipata faida kubwa kutoka kwa uvumbuzi huo na “ilikuwa ikitabasamu hadi benki”, hawakuacha tabasamu katika uso wa Makate “.

Andy Green-£1.7m

Mnamo mwaka wa 2020 mwanamme ambaye akaunti yake iliwekwa £1.7m aliwasilisha kesi kortini nchini Uingereza baada ya fedha hizo kuondolwa .

Andy Green, 53, kutoka Lincolnshire alifiriki kwamba ameshinda kitita kizito cha fedha mwaka wa 2018 baada ya kushiriki mchezo wa kubasiri mtandaoni .Lakini iliyompa fedha hizo Betfred ,ilimarifu kwamba kulikuwa na hitilifau ya kimtambo ambayo ilizihamisha fedha hizo kwa akaunti yake.

Lakini mawakili wa Bw Green wanasema hakupewa thibitisho la shida hiyo.

PESA

Baada ya usiku mrefu kucheza Betfred Frankie Dettori Magic Seven Blackjack mnamo Januari 2018, akaunti ya Green ilipewa $ 1,722,923.54 ambayo alijaribu kutoa – lakini ombi hilo lilikataliwa.

Baada ya kuweka dau zingine na ushindi wake alichukua picha ya skrini kudhibitisha kilichotokea.

Kama ishara ya “nia njema” kampuni hiyo ilikuwa tayari kumlipa pauni 30,000, lakini Bwana Green angelazimika kukubali kutozungumza suala hilo tena.

ANDY gREEN
Maelezo ya picha,Bwana Green alikataa na kampuni hiyo ikaongeza ofa yake hadi Pauni 60,000, ambayo pia alikataa.

Bwana Green alikataa na kampuni hiyo ikaongeza ofa yake hadi Pauni 60,000, ambayo pia alikataa.

Zaidi ya miaka miwili baadaye ameenda mahakamani kuishtaki Betfred na kampuni yake kuu , Petfre yenye makao yake Gibraltar kwa pauni milioni 2, pamoja na riba ambayo angepata kutoka kwa ushindi.

Pauline McKee (£27.6m)

Mnamo mwaka wa 2015 Mwanamke mwenye umri wa miaka 90 kutoka Illinois ambaye alidhani ameshinda $ 41.8m (£ 27.6m) kwa mashine ya video ya senti, alinyimwa bonasi hiyo baada ya kupoteza kesi kortini.

Bibi Pauline McKee alikuwa akicheza mchezo wa Miss Kitty kwenye kasino

Lakini ujumbe ulionekana kwenye skrini ukisema pia ameshinda bonasi yenye thamani ya $ 41,797,550.16.

Kasino ilikataa kulipa, ikisema tuzo hiyo ilikuwa hitilafu ya kompyuta.

The Miss Kitty video penny slot machine game is popular in casinos

Bi McKee, ambaye ana wajukuu 13, alishtaki kasino lakini Mahakama Kuu ya Iowa mwishowe ilitupa kesi yake.

“Nilikuwa na mashaka yangu tangu mwanzo, kwa sababu hizo ni pesa nyingi kwa mashine ya senti,” aliiambia Chicago Tribune.

Nilikuwa na matumaini ya kuwasaidia watoto wangu kifedha, lakini haikukusudiwa kuwa hivyo. “

‘Hitilafu’

Kasino ilisema kwamba sheria za skrini zilionyesha wazi kwamba “hitilafu yoyote huondoa malipo yote na uchezaji”.

Wakati wa mzozo, Tume ya Mashindano na Michezo ya Kubahatisha ya Iowa (IRGC) ililinda mashine hiyo na kufanya uchunguzi, ikipeleka vifaa na programu hiyo kwa maabara huru ya upimaji.

Wachunguzi waligundua kuwa programu hiyo ilikuwa imewekwa kuruhusu bonasi ya hadi $ 10,000, lakini hawakuweza kujua jinsi ujumbe wa ziada wa mamilioni ulivyotokea.

Mtengenezaji wa mashine hiyo, Aristocrat Technologies, alisema alikuwa anajua aina hii ya makosa kwenye onyesho na alipendekeza “uharibifu wa sehemu ya mashine kwa muda unaweza kuongeza uwezekano wa tukio hili adimu”.

Iwapo hatima kama hiyo itamkumba mwafrika kusini Makate katika harakati zake za kulipwa kiasi kikubwa cha fedha ni jambo litakalotegemea uamuzi wa mahakama na muda .Wengi katika ambao wanazitamani pesa alizoahidiwa na Vodacom bila shaka wana uchu wa kumpa ushauri azikubali lakini kwa sababu yeye ndiye mvumbuzi wa huduma hiyo anaijua vyema thamani ya uvumbuzi wake .

Maelfu wahudhuria sherehe za uapisho wa Rais Museveni

Zaidi ya watu 4,000 wakiwemo viongozi kutoka kila pembe ya bara Afrika wamehudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni wa Uganda iliyofanyika mjini kampala.

Bwana Museveni alipata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliofanyika Januari ambapo mpinzani wake mkubwa ambaye pia ni mwanamuziki maarufu, Bobi Wine, ameendelea kudai kuwa uchaguzi huo ulikumbwa na wizi wa kura.

Kiongozi huyo, 76, amekula kiapo hii leo kama rais kwa muhula wake wa 7 kutawala nchi hiyo.

Miaka mingine mitano ya uongozi itamuwezesha kuongoza Uganda kwa miaka 40 na kuwa mmoja kati ya vongozi waliotawala kwa muda mrefu zaidi Afrika.

Wafuasi wa chama tawala (NRM) walijitokeza katikati ya eneo la Ikulu iliyopo Nakasero na uwanja wa Kololo ambako sherehe hiyo ilikuwa inafanyika kushangilia msafara wa rais.

Katika kipindi cha miongo mitatu chini ya utawala wake, Uganda imepiga hatua kijamii na kiuchumi.

Lakini kiongozi huyo amekuwa akikosolewa kwa kushikilia madaraka kwa kipindi kirefu na kukandamiza wapinzani wake.

Nchi hiyo imeshuhudia matukio ya upinzani kukandamizwa katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita huku mamia ya wafuasi wa vyama vinavyompinga wakizuiliwa huku wengine wakiwa hawajulikani walipo.

Mamlaka ilipeleka wanajeshi wengi waliokuwa wamejihami katika mji wa Kampala kabla ya sherehe hiyo.

Baadhi pia walipelekwa kuzunguka nyumba za wapinzani wakuu.

Eid al-Fitr: Fahamu wanayotakiwa kufanya Waislamu kabla na baada ya sala ya Eid

Sala ya Eid ni moja ya vitendo vilivyoelezwa kama hatua ya kuabudu kuashiria mwisho wa kufunga mwezi mtukufu.

Mtu anayefunga mwezi mtukufu wa Ramadhan anatarajiwa kumaliza mfungo kwa sala ya Eid.

Sala ya Eid ni moja ya vitendo vilivyoelezwa kama hatua ya kuabudu kuashiria mwisho wa kufunga mwezi mtukufu.

Sala ya Eid sio kwamba inatekelezwa kuashiria siku ya kuzaliwa au ushindi fulani, hapana, Eid ni kitendo cha kuabudu na kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu wetu.

BBC imezungumza na Mallam Nura Khalid, Imam wa msikiti wa Apo katika mji mkuu wa Abuja ambaye ameangazia baadhi ya mambo ambayo Waislamu wanatarajiwa kufanya siku ya sala ya Eid:

Kutoa Zakat al-fitri

Zakat-ul-Fitr au Sadaqat-ul-Fitr ni kiwango fulani cha chakula kinachotolewa na waislamu katika siku chache za mwisho wa Ramadhan au siku ya ‘Idd asubuhi, kabla ya kuswaliwa Swala ya ‘Idd.

Kutoa Zakat al-fitr ni lazima kama ilivyoelezwa na Mtume Muhammad (S.A.W). Ni vyema kutoa Zakat al-fitr kabla ya kwenda msikitini kusali sala ya Eid.

Zakat al-fitr inatolewa kuwatakasa wale waliofunga na kuzisafisha saumu zao.

Pia inatolewa kuwalisha Waislamu masikini ili nao wawe na chakula cha kuwatosha siku ya ‘Idd.

Kulingana na mafunzo ya Mtume Muhammed (S.A.W). Mwenyezi Mungu ametuamrisha kutoa Zakat-ul-Fitr ili mwenye kufunga ajitakase kutokamana na maneno machafu au0 vitendo vibaya na pia kuwalisha wanaohitaji.

Lakini pia inageuka na kuwa sadaqa ya kawaida kwa yule anaetoa baada ya swala ya Idd.

Hivyo basi, itakuwa rahisi ikiwa utaitoa usiku wa kuamkia Eid au siku mbili au tatu kabla ya Eid, yaani kuanzia Ramadhan 27 hasa katika mashirika au mawakala wanaokusanya sadaka kwa ajili ya wasiojiweza.

Kutolewa mapema kwa zakah hiyo itasaidia kufikia maskini mapema vizuri.

Kuoga kabla ya kwenda kusali

Inapendeza ikiwa mtu ataoga kabla ya kwenda kuswali swala ya Eid na kujitia manukato mazuri kwa wanaume.

Kula kabla ya kuswali swala ya Eid

Kula kabla ya kwenda kusali ni Sunna.

Ni katika sunnah kula tende kabla ya kwenda kuswali Eid al-Fitri au chochote kile cha halali kwasababu huo ndio uliokuwa utaratibu wa Mtume Muhammad (S.A.W).

Kuvaa nguo ambazo zitakufanya uhisi uko sawa

Ni ni utamaduni waliojiwekea Waislamu. Ni sunnah kuvaa nguo yake safi. Na kwa wanaume, sio lazima laikini inapendeza ikiwa watavaa guo nyeupe.

Eid ni siku ya furaha na kuonesha shukran kwa Allah kwa neema yake, kuwezesha muumini kufunga mwezi huo na zawadi ya usiku wa Lailatul- Qadar.

Kusema Takbir wakati unakwenda kusali Eid

Ni utamaduni kusema takbir wakati unakwenda kusali hadi utakapofika kusali sala ya Eid na imam atakapowasili.

Muumin atasema: “Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar,” au aseme “Allahu Akbar, Allahu Akbar, Lailaha illahahu Wallahu Akbar, Allahu Akbar Walillahil Hamd.

Pia inasemwa hivi: “Allahu Akbar Kabira Walhamdu lillahiu kasira, Walhamdulillahi bukratan wa asila.”

Kusikiliza hutba baada ya sala ya Eid

Baada ya kuswali, hutba hutolewa. Inatakuwa muumini anaketi na kusikiliza hutba wala sio kuondoka tu punde baada ya swala.

Ingawa sio wajibu, inasemekana kuwa miongoni mwa baraka ambazo Mtume Muhammad (S.A.W) alisema kuwa mtu anapata kwa kusikiliza mawaida.

Badilisha njia wakati unarejea nyumbani

Ni Sunnah kwa mtu kubadilisha njia wakati anarejea nyumbani baada ya kusali Eid kwasababu atasalimia wengine ambao hajakutaa nao.

Watoto, wanaume , wanawake na watu wazima wanasheherekea

Jamii nzima inatarajiwa kuwa katika sherehe wakubwa kwa wadogo.

Kwa sherehe zinazofanyiwa misikitini, italazimu wanawake walio katika siku zao kusimama kandokado ya msikiti kusikiliza au kutazama.

Wanawake wanatarajiwa kufunika miili yao wanapokwenda kwenye sherehe.

Na wanawake hawaruhusiwi kutangamana na wanaume wakiwa wanaswali. Yaani wanawake upande wao na wanaume upande wao.

Love Has Won: Familia yaomboleza kifo cha kiongozi wa kiroho aliyeongoza dhehebu lenye imani ya ajabu

Amy Carlson, 45, alikuwa kiongozi wa kiroho wa vuguvugu jipya la kidini lililoitwa Love Has Won
Maelezo ya picha,Amy Carlson, 45, alikuwa kiongozi wa kiroho wa vuguvugu jipya la kidini lililoitwa Love Has Won

Ilikuwa ni siku ya Jumatano usiku wakati mkuu wa polisi wa Kaunti ya alilpomtaka afisa wa polisi Koplo Steven Hansen kuchunguza ripoti ya kifo.

Mwili wa marehemu , aliambiwa ulikuwa umepatikana kwenye nyumba moja iliyokuwa katika eneo la mbali karibu na mlima wa Moffat, unaokaliwa na watu wapatao 100.

Katika kipindi cha saa kadhaa, aliamua kutekeleza kazi aliyopewa kulingana na kibali na hivyo kuisaka nyumba alikoelekezwa kulikuwa na mwili. Alichokiona ndani ya nyumba ile kilikuwa ni cha kutisha.

Katika moja ya vyumba vaya kulala vya nyumba ile kulikuwa kumetengenezwa kaburi ambalo Bw Hansen analielezea kuwa mlikuwemo mwili uliokuwa umenyofolewa viungo ulionekana kuwa ni wa mwanamke.

Ukiwa umewekwa kwenye kitanda, mwili wa mwanamke huyo ulikuwa umefungwa ndani ya karatasi ya plastiki na kuzingirwa na mishumaa na taa za vimulimuli za Krismasi, huku ukiwa umepakwa vipodozi vya kumetameta vilivyozingira macho yake.

Mwili huo unaaminiwa kuwa ulikuwa ni wa Amy Carlson, kiongozi wa kiroho mwenye umri wa miaka 45 aliyeongoza vuguvugu la kiimani linalojiita Mapenzi yameshinda( Love Has Won), kikundi cha kidini kilichoelezewa kama dini ya kishetani na polisi pamoja na wakosoaji wake.

Ramani
Maelezo ya picha,Ramani

Kuhakikisha hilo, polisi alihitaji kuhesabu rekodi ya meno yake, kwasababu mwili ukikuwa umeoza sana, hakuweza kupata alama za vidole. Anaamini kuwa huenda mwanamke huyo alikuwa ameuawa tangu mwezi Machi.

Huku kukiwa hakuna ushahidi kuwa aliuawa, wajumbe saba wa vuguvugu la Love Has Won walikamatwa katika nyumba hiyo na kushitakiwa kwa kutumia vibaya mwili wa mfu.

“Sijawahi kuona kikundi cha watu ambacho kinaishi na maiti bila kuwa na wasi wasi wowote ,” Polisi Hansen aliviambia vyombo vya habari vya Corolado.

Polisi iliwakamata wajumbe saba wa kikundi, akiwemo, Obdulia Franco(kushoto) na Jason Castillo,45 (kulia)
Maelezo ya picha,Polisi iliwakamata wajumbe saba wa kikundi, akiwemo, Obdulia Franco(kushoto) na Jason Castillo,45 (kulia)

Hakuna lolote kati ya haya lililoishangaza familia ya Carlson, ambayo iilikuwa na uhakika wa mwili wa wake

“Tulifahamu kuwa hakuwa mtu ambaye hakuwa na makosa katika hali yote hii, kwasababu aliamua kujiunga na kikundi hiki cha imani ya kiajabu,” dada yake mdogo Carlson ,Chelsea Renninger, aliiambia BBC. “Lakini wakati huo huo, hastahili kufanyiwa kile alichofanyiwa katika mwisho wake. Hakuna binadamu anayestahili hayo .”

Kwa miaka, Bi Renninger alikuwa na uhakika kuwa uongozi wa dada yake wa kiroho wa kikundi cha Love Has Won ungeishia katika kifo.

Machache sana yanajulikana kuhusu asili ya kikundi cha Love Has Won, ambacho kinaaminiwa kuibuka katika miaka ya 2000 chini ya kikundi kingine.

Mfuasi wake mmoja alimshawishi Bi Carlson kujiunga na vuguvugu lao, na hivyo kufungua njia yay eye kuwa kiongozi wa Love Has Won. Wafuasi wake wanaonekana kutokuwa na imani inayojulikana.

Badala yake, hutoa mahubiri kuhusu theolojia isiyo na mwelekeo inayohusisha falsafa ya nyakati mpya, dhana potofu, na ibada ya mesia.

Mesia wao alikuwa ni Bi Carlson aliyefahamika kama “Mama mungu “.

Mafundisho yake yalikuwa matakatifu, na madai yake yalikuwa hata ya kiajabu kuliko cheo chake. Alijiita ”Yesu Kristo” katika moja ya maisha yake ya miaka 534 iliyopita, aliweza kutibu saratani, angeweza kunena na roho ya mchezaji filamu wa zamani Robin Williams, alikuwa anadai hivyo mara kwa mara.

Amy Carlson (katikati) na dada zake wadogo Tara Flores (kushoto) na Chelsea Renninger (kulia)
Maelezo ya picha,Amy Carlson (katikati) na dada zake wadogo Tara Flores (kushoto) na Chelsea Renninger (kulia)

Madai haya yasiyo ya kweli yalienezwa na kuamniwa miongoni mwa waamini wa dhehebu hilo nchini Marekani na maeneo mengine dunaini kupitia matangazo ya moja kwa moja ya mtandao wa YouTube. Katika video hizi, wafuasi wa Bi Carlson wanaomba msaada kwa ajili ya kiongozi wao.

Katika kamera, wafuasi wanaonekana kuridhishwa na maisha yao.

Katika waraka wa kesi kuhusiana na mauaji yake, ambao BBC imeuona, Ofisi ya mkuu wa polisi ilisema ili “pokea malalamiko mengi kutoka katika familia za watu nchini Marekani wakisema kuwa kikundi hicho kinawalaghai watu na kuwaibia pesa “.

Hakuna hata mmoja katika kikundi hicho, ambaye wavuti wake unaweza kufikiwa, hawakuweza kuhojiwa.

Ukugrasa wa Facebook wenye uhusiano na kikundi cha Love Has Won haukujibu ombi la kutaka waelezee kisa hiki .

Mmoja wa watot watatu wa Bi Carlson, Cole Carlson, alisema kuwa yalikuwa ni madai ambayo yalimuumiza zaidi.

Walikuwa ni sehemu ya sababu ya Bw Carlson, 25, ya kujitenga kwa kiasi kikubwa na mama yake kwa kipindi kikubwa cha maisha yake.

“Maisha yangu ni ya kawaida, kuliko ukweli kwamba mama yangu aliondoka na kujiunga na dhehebu la ajabu,” Bw Carlson aliiambia BBC.

Alikuwa na umri wa miaka 12 wakati mama yake, aliyekuwa mfanyakazi wa zamani wa kampuni ya McDonald kutoka Texas, alipoamua kufuata njia yake ya kiimani. Sauti yake ilisikika kutetemeka alipoelezea vile alivyobaini maisha aliyoyaingia mama yake katika kikundi hicho cha kiimani.

Alikuwa amepanga kwenda Krismas kuwa na familia yake iliyoko Houston pamoja na mama yake, baba yake akamwambia kile kilichotokea. Mama yake alikuwa ameenda na kuwaacha watoto wake- akiwemo mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka miwili-chini ya uangalizi wa baba yake.

Licha ya kumbukumbu ya kusikitisha, Bw Carlson anasema alimpenda mama yake sana.

“Hakuwa mama bora, hata alipokuwa akiishi na sisi.

Lakini nilimpenda sana,”Bw Carlson, ambaye anaishi na kusomea baiolojia katiuka chuo cha Portland, Oregon alisema.

Bi Carlson (Kushoto) akiwa pamoja na mama yake Linda Haythorne (Chinni), na madada Chelsea (katikati) na Tara (Kulia)
Maelezo ya picha,Bi Carlson (Kushoto) akiwa pamoja na mama yake Linda Haythorne (Chinni), na madada Chelsea (katikati) na Tara (Kulia)

Hakukuwa na ukosefu wa upendo katika maisha Bi Carlson, anasema dada yake Bi Renninger. Walikuzwa katika mazingira mazuri na wazazi waliowapenda mjini Dallas.

Shuleni, Bi Carlson alikuwa ni mwanafunzi wa kupata alama-A na kiongozi wa kwaya akiwa na sauti tamu kama ya malaika. Ni tu baada ya kuanza kuwa mtu mzima ambapo alianza kuongea na watu wasiojulikana kwenye intaneti, ambapo alianza kuonesha maisha tofauti ya kiroho.

Alipoondoka nyumbani kuishi na watu hao wasiojulikana, wengi miongoni mwa watu wa familia yake hawakuwahi kumuona wala kuzungumza naye tena.

Familia yake inasema ilijaribu sana kumsaidia mara nyingi lakini haikufanikiwa. Hata waliwahi kumuomba mtangazaji wa kipindi cha mazungumzo cha telebvisheni ya CBC Dr Phil, ambaye alimhoji Bi Carlson na wafuasi wake katika mahojiano ya televisheni mwaka jana.Lakini haikusaidia. Alisalia kuwa katika vuguvugu hilo mpaka mwisho wa maisha yake.

Mazingira ya kifo chake bado yanachinguzwa.

Wiki iliyopita, mwendesha mashitaka alisema anapanga kuwasilisha mashitaka makubwa ya uharibifu mkubwa wa mwili dhidi ya watu saba waliokamatwa kuhusiana na kifo cha Bi Carlson.

Watu hao saba walikuwa wakiishi katika nyumba ya Miguel Lamboy, mtu anayeshukiwa kuwa mjumbe wa kikundi cha Love Has Won, ambako mwili wa Carlson ulipatikana tarehe 28 Aprili.

Mwili ulikuwa katika hali mbaya, ukiwa na ngozi ya rangi ya kijivu, ukiwa hauna macho, na meno yalikuwa yametoka nje ya mdomo, Lamboy aliiambia Polisi.

Melezo ya kutisha kuhusu mwili huo yameishitua familia ya Carlson na wakatoa wito wa kufahamika kwa hatma za mesia wengine -Kuanzia Shoko Asahara na David Koresh, hadi Charles Manson na Jim Jones.

Maisha yao yanapaswa kusaidia kama njia ya kumfanya yeyote anayefikiria kujiunga na kikundi hiki ajiahadhari na kikundi hiki cha imani cha ajabu, mama yake Carlson, Linda Haythorne, aliiambia BBC.

“Ingawa alifanya mambo mabaya, bado alikuwa ni binadamu ,”alisema. “Ninataka kutuma ujumbe kwa watu kuwa kikundi hiki cha kiimani ni hatari na natumai, tunamsaidia mama mwingine, dada au mtoto .”

Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

Ghasia zilizuka nje ya msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa zamani wa Jerusalem
Maelezo ya picha,Ghasia zilizuka nje ya msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa zamani wa Jerusalem

Jerusalem imekuwa ikigonga vichwa vya habari kufuatia ghasia ambazo zimekuwa zikiripotiwa mjini humo kati ya Wapalestina na vikosi vya usalama vya Israeli ambazo zimewaacha mamia wakijeruhiwa mbali na mshambulizi ya kulipa kisasi kutoka pande zote mbili yakiripotiwa.

Ghasia hizo ziliongezeka siku ya Jumatatu usiku baada wanamgambo wa Kipalestina kurusha roketi kutoka ukanda wa Gaza hadi Jerusalem.

Kundi la wanamgambo la Hamas limetishia kuwashambulia maafisa wa polisi wa Israel baada ya mamia ya Wapalestina kujeruhiwa katika eneo takatifu la Waislamu mjini Jerusalem siku ya Jumatatu.

Likijibu, Jeshi la Israel lilifanya mashambulizi ya angani dhidi ya ngome za wanamgambo katika ukanda wa Gaza.

Maafisa wa afya wa Palestina katika eneo la Gaza wanasema kwamba watu 22 wakiwemo watoto waliuawa katika shambulio hilo.

Jeshi la Israel limesema kwamba takriban wanachama 15 wa kundi la Hamas linalotawala Gaza ni miongoni mwa waliokufa.

Roketi zilirushwa kutoka Gaza hadi Jerusalem siku ya Jumatatu
Maelezo ya picha,Roketi zilirushwa kutoka Gaza hadi Jerusalem siku ya Jumatatu

Siku ya Jumanne, Shirika la haki za kibinadamu la Palestina Red Crescent, liliripoti kwamba zaidi ya Wapalestina 700 walijeruhiwa katika ghasia hizo na maafisa wa usalama wa Israel mjini Jerusalem na eneo la West Bank.

Hizi hapa sababu tatu zilizopelekea kuzuka kwa mzozo huo.

1. Siku ya kusherehekea Jerusalem

Jerusalem imeshuhudia ghasia ambazo hazajiwahi kutokea tangu wikendi ya 2017, zikisababishwa na jaribio la muda mrefu la Wayahudi kujaribu kunyakua nyumba za familia za Kipalestina katika eneo lililonyakuliwa na Israeli la mashariki mwa Jerusalem.

Ghasia hizo za Jumatatu zilizuka nje ya msikiti wa Al Aqsa , katika mji wa zamani wa Jerusalem.

Wapalestina waliwarushia mawe maafisa wa polisi wa kukabiliana na ghasia kutoka Israel ambao nao walijibu kwa kuwarushia risasi bandia za mipira na vitoa machozi .

Shirika la haki za kibinadamu la Palestina Red Crescent lilisema siku ya Jumatatu kwamba zaidi ya watu 300 walijeruhiwa.

Vikosi vya polisi vya Israel vilisema kuwa idadi kubwa ya maafisa wa polisi ilijeruhiwa pia.

Zaidi ya Wapalestina 300 walijeruhiwa wakati wa ghasia za siku ya Jumatatu
Maelezo ya picha,Zaidi ya Wapalestina 300 walijeruhiwa wakati wa ghasia za siku ya Jumatatu

More than 300 Palestinians were injured during Monday’s clashes in Jerusalem.

Msikiti wa Al Aqsa upo katika eneo takatifu linalojulikana na Waislamu kama Haram al Sharif, na Hekalu la Mlimani kwa Wayahudi.

Vikosi vya polisi wa Israel vilisema kwamba maelfu ya Wapalestina waliweka vizuizi katika eneo hilo wakitarajia kutokea kwa ghasia wakati wa maandamano ya Kiyahudi siku ya Jumatatu ili kuadhimisha siku ya Jerusalem.

Maandamano hayo yanaadhimisha hatua ya Israel kunyakuwa eneo la mashariki la Jerusalem 1967 , wakati wa vita vya siku sita ambapo ilifanikiwa kuchukua udhibiti wa mji wote.

Mji huo wa zamani upo mashariki mwa Jerusalem , ikiwa ni nyumbani kwa baadhi ya maeneo matakatifu ya kidini duniani ikiwemo: Msikiti wa Al-Aqsa, Hekalu la mlimani, Ukuta wa magharibi wa dini ya Wayahudi na kanisa la Wakristo la mtakatifu Sepulcher.

Na eneo hilo linatambulika kuwa mji mtakatifu na Wayahudi, Wakristo na ni mji wa tatu mtakatifu katika Uislamu.

Hatma ya eneo la Jerusalem mashariki ndio kiini cha ghasia kati ya Israeli na Wapalestina na kila upande unapigania haki yake.

Israel inasema kwamba eneo lote la mji huo ni mji wake mkuu , ijapokuwa hilo halitambuliwi na jamii ya kimataifa , na Wapalestina wanadai kwamba eneo hilo ndio mji mkuu wa taifa la Kipalestina litakaloundwa katika siku zijazo.

Wakati wa maandamano hayo ya kuadhimisha siku ya Jerusalem, mamia ya vijana wa Israel walipeperusha bendera na kuelekea katika maeneo hayo ya Waislamu , wakiimba nyimbo za kizalendo.

Wapalestina wengi wanachukulia hatua hiyo kama uchokozi.

Polisi wa Israel walitembelea eneo hilo kuamua kuwapiga marufuku Wayahudi wakati wa maadhimisho ya siku ya Jerusalem.

Maandamano ya kuadhiisha siku ya Jerusalme yanaadhimishwa kufuatia hatua ya Israel kunyakua mji huo
Maelezo ya picha,Maandamano ya kuadhiisha siku ya Jerusalme yanaadhimishwa kufuatia hatua ya Israel kunyakua mji huo

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alitetea ulinzi uliowekwa.

“Hii ni vita kati ya wavumilivu na wasio na uvumilivu, kati ya wasiofuata sheria na wanaofuata sharia,” alisema.

“Wale wanaotaka kuchukua haki zetu mara kwa mara hutulazimisha kusimama kidete, kama maafisa wa polisi wa Israeli wanavyofanya.”

Kwa upande wake rais wa Palestina Mahmoud Abbas alishutumu vitendo vya Israel.

“Shambulio la kinyama la vikosi vya Israel dhidi ya waumini waliokuwa katika msikiti mtakatifu wa Al Aqsa na maeneo yake ni changamoto mpya kwa jamii ya kimataifa,” alisema msemaji wake Nabil Abu Rudeineh.

2.Uwezekano wa kuzifurusha familia za Wapalestina.

Wimbi jipya la ghasia linatokana na juhudi za siku nyingi za Wayahudi kuzifurusha familia kadhaa za Kipalestina kutoika katika makazi yao karibu na wilaya ya Sheikh Jarrah mashariki mwa jerusalem.

Jerusalem ilishuhudia ghasia mbaya zaidi tangu 2017
Maelezo ya picha,Jerusalem ilishuhudia ghasia mbaya zaidi tangu 2017

Jerusalem

Jerusalem experienced the worst fighting of its kind since 2017.

Umauzi wa mahakama mwaka huu uliounga mkono kufurushwa kwao ulizua shutuma kutoka kwa Wapalestina.

Mahakama ya kilele nchini Israel ilikuwa inatarajiwa kusikiliza kesi siku ya Jumatatu lakini kikao hicho kikaahirishwa kutokana na ghasia hizo.

3. Hali ya hofu wakati wa Ramadhan

Wimbi hili la ghasia linajiri katika siku za mwisho za mwezi mtukuafu wa Ramadhan.

Kizuizi cha Ramallah

Hofu ilitanda tangu kuanza kwa mwezi wa Ramadhan katikati ya mwezi Aprili , huku kukiwa na msururu wa matukio ambayo yamesababisha ghasia.

Wakati Ramadhan ilipoanza , ghasia za usiku zilizuka kati ya polisi na Wapalestina wakipinga vizuizi vilivyoweka nje ya lango kuu la Damascus katika mji wa zamani wa Jerusalem ambalo lilikuwa limewazuia kukongamana eneo hilo usiku kucha.

Lakini ghasia hazikutokea Jerusalem pekee kwani sehemu nyengine pia zilirekodiwa katika mji wa Haifa , Kaskazni mwa Israel na mji wa karibu wa Ramallah katika eneo la West Bank.

Wapatanishi wa mashariki ya kati , wakiwemo Marekani, muungano wa Ulaya, Urusi na Umoja wa Mataifa wameonyesha kukerwa na ghasia hizo na kutoa wito kwa pande husika kuvumiliana.

ADABU ZA KUOMBA DUA.


ADABU ZA KUOMBA DUA.
1.kuelekea qibla. Amesimulia Abdallah Ibn Zayd رضىالله عنه kuwa “alitoka Mtume صلّي الله عليه وسلّم kwenda kuomba dua ya mvua akaelekea kibla”. (amepokea Bukhari). 

2.Kunyanyua mikono miwili juu. Amesimulia Abuu Musa رضىالله عنه kuwa “aliomba Mtume صلّي الله عليه وسلّم dua akanyanyua mikono yake mpaka nikaona weupe wa kwapa lake” (amepokea Bukhari). Na amesimulia Ibn ‘Abas kuwa Mtume صلّي الله عليه وسلّم amesema ‏ “‏ إِذَا دَعَوْتَ اللَّهَ فَادْعُ بِبُطُونِ كَفَّيْكَ وَلاَ تَدْعُ بِظُهُورِهِمَا فَإِذَا فَرَغْتَ فَامْسَحْ بِهِمَا وَجْهَكَ “muombeni Allah kwa matumbo ya viganya vyenu, wala msimuombe kwa migongo ya viganja vyenu.…”. (amepokea Abuu Daud na Bayhaqiy).

3.Kuanza dua kwa kwa kumsifu Allah na kumshukuru (kama kusema alhamdu lillah ….) na kumswalia Mtume صلّي الله عليه وسلّم. Amesimulia ‘Abdullah Ibn Mas’ud رضىالله عنه kuwa nilikuwa nikiswali, wakati Mtume yupo na Abuubakar na ‘Umar, basi nilipokaa nikaanza kumshukuru Allah na kumsifu na nikamswalia Mtume صلّي الله عليه وسلّم kisha nikajiombea dua, akasema mtume صلّي الله عليه وسلّم ‘omba utapewa, omba utapewa’”. (amepokea tirmidh kwa isnad sahih). Na katika masimulizi ya Fudailah Ibn ‘Ubayd رضىالله عنه amesema “hakika amefundisha mtume صلّي الله عليه وسلّم uma wake jinsi ya kuomba dua akasema ‘pindi anapoomba dua mmoja wenu basi aanze na tahmid (kumshukuru Allah) na thanaai (kumsifu Allah) kisha amswalie Mtume صلّي الله عليه وسلّم kisha aombe chochote anachotaka’” ‏”‏ إِذَا صَلَّى أَحَدُكُمْ فَلْيَبْدَأْ بِتَحْمِيدِ اللَّهِ وَالثَّنَاءِ عَلَيْهِ ثُمَّ لِيُصَلِّ عَلَى النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم ثُمَّ لِيَدْعُ بَعْدُ بِمَا شَاءَ ‏”‏ (amepokea Abuu Daud, tirmidh, Ibn Hiban na baihaqy). 

4.Kuanza kuomba dua kwa kujiombea mwenyewe. Kwa anayetaka kumuombea mtu mwingine dua anatakiwa aanze na kujiombea mwenyewe. Amesimulia Ubaiya Ibn K’ab رضىالله عنه kuwa عَنْ أُبَىِّ بْنِ كَعْبٍ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم كَانَ إِذَا ذَكَرَ أَحَدًا فَدَعَا لَهُ بَدَأَ بِنَفْسِهِ “alikuwa mtume صلّي الله عليه وسلّم anapomkumbuka mtu na akataka kumuombea dua huanza kwa kujiombea mwenyewe kwanza.” (amepokea tirmidh kwa isnad sahih).

5.Kurudia rudia katika kuomba na kusisitiza maombi yako. Ila usiharakishe majibu kutaka kujibiwa haraka hata ukawa unamlaumu Allah. Amesimulia Abdallah ibn Ms’ud رضىالله عنه kuwa alikuwa Mtume صلّي الله عليه وسلّم anapenda kuomba mara tatutatu na (akawa) anaomba istighfar (msamaha) mara tatutatu. (amepokea Abu Daud kwa isnad salih). 

6.Kuwa na yaqini juu ya kujibiwa na kujiepusha na yaliyo haramu. Mtu anatakiwa asiwe na shaka juu ya kujibiwa dua yake. Amesimulia Abuu Hurairah رضىالله عنه kuwa Mtume صلّي الله عليه وسلّم amesema “‏ ادْعُوا اللَّهَ وَأَنْتُمْ مُوقِنُونَ بِالإِجَابَةِ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ لاَ يَسْتَجِيبُ دُعَاءً مِنْ قَلْبٍ غَافِلٍ لاَهٍ ‏”‏ “muombeni Allah mkiwa na yakini juu ya kujibiwa na jueni kuwa Allah hakubali dua ya mtu ambaye moyo wake umeghafilika naye. (amepokea Tirmidh na Alhaakim). 

7.Usiharakishe kujibiwa. Isitokee mtu akawa na haraka ya kutaka maombi yake yajibiwe kama anavyotaka yeye kwa haraka hata akawa analaumu. Amesemulia Abuuhurairah رضىالله عنه kuwa Mtume صلّي الله عليه وسلّم amesema “‏ يُسْتَجَابُ لأَحَدِكُمْ مَا لَمْ يَعْجَلْ يَقُولُ دَعَوْتُ فَلَمْ يُسْتَجَبْ لِي ‏” “atajibiwa (dua yake ) mmoja wenu maadam hajaharakisha (kujibiwa) akawa anasema nimeomba na wala sijajibiwa”. (amepokea Bukhari na Muslim). Na katika masimulizi mengine ya Abuuhrairah kuwa mtume amesema “hataacha mja kujibiwa dua yake maadam hajaomba madhamdhi au kukata udugu”. (amepokea Muslim na Abuu Daud). Hii ina maana dua itajibiwa tu ila isiwe ya kuomba madhambi au kukata udugu. 

8.Kuitikia “aamiin”. Mwenye kuomba dua basi aitikie “aamiin” eidha awe mwenyewe pekee au yupo na kundi la watu. Amesimulia Abuuhurairah رضىالله عنه kuwa Mtume صلّي الله عليه وسلّم “atakapoomba dua mmoja wenu basi na aitikie ‘aamiin’ mwenyewe’”. (amepokea Ibn ‘Adiy).


                   

Yanga Yawasiri Mtwara Kwa Ndege


KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu,  Nassreddine Nabi leo Mei 12 kimewasili salama Mtwara kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=6310719999&adk=3451024743&adf=3089405997&pi=t.ma~as.6310719999&w=300&fwrn=7&lmt=1620806883&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fcdn-af.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F7e8d06d6fc1d8a1961e6e5dd951e49cf%3Fac%3D3g%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620806878979&bpp=34&bdt=8263&idt=4770&shv=r20210510&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=4861514785109&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620806883&ga_hid=213491192&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=606&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=69&eid=31060710%2C31060474&oid=3&pvsid=285331573223634&pem=855&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=2&uci=a!2&btvi=1&xpc=Lwrh3ZJKgc&p=https%3A//cdn-af.feednews.com&dtd=4874

Yanga wametua Mtwara na ndege ya Kampuni ya Precision Air ili kuanza kuwavutia kasi Namungo wanaonolewa na Hemed Morroco. 

Ni Mei 15 wanatarajiwa kukutana katika Uwanja wa Majaliwa ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili baada ya ule wa awali uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao kusoma Yanga 1-1 Namungo.

Miongoni mwa waliopo kwenye msafara huo ni pamoja na Deus Kaseke, Ditram Nchimbi, Haruna Niyonzima, Lamine Moro, Wazir Junior, Farouk Shikalo na Metacha Mnata.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=375&slotname=7825531549&adk=3882026931&adf=461091818&pi=t.ma~as.7825531549&w=360&lmt=1620806884&rafmt=11&psa=1&format=360×375&url=https%3A%2F%2Fcdn-af.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F7e8d06d6fc1d8a1961e6e5dd951e49cf%3Fac%3D3g%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&fwr=1&wgl=1&dt=1620806879014&bpp=57&bdt=8299&idt=5207&shv=r20210510&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250&nras=1&correlator=4861514785109&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620806883&ga_hid=213491192&ga_fc=0&rplot=4&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=0&ady=1265&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=69&eid=31060710%2C31060474&oid=3&pvsid=285331573223634&pem=855&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=128&bc=29&ifi=3&uci=a!3&btvi=2&xpc=bO6P0A7xzs&p=https%3A//cdn-af.feednews.com&dtd=5260

Mhasihu Auliwa Kikatili Wilayani Hai

Hai. Mwili wa mhasibu  wa Shule ya Sekondari Nronga inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Helga Lema  umekutwa kichakani.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=6310719999&adk=2325624191&adf=2590889323&pi=t.ma~as.6310719999&w=300&fwrn=7&lmt=1620801744&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fcdn-af.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Fdaa382caa711bba5e264e5a3bfa4f502%3Fac%3D3g%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620801743418&bpp=43&bdt=4617&idt=1293&shv=r20210510&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=4529441271951&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620801745&ga_hid=1690543205&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=353&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=42530672%2C31060981%2C31060474&oid=3&pvsid=375342945750312&pem=855&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeE%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=2&uci=a!2&xpc=OX4pOeburt&p=https%3A//cdn-af.feednews.com&dtd=1374

Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumanne Mei 12, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Amon Kakwale amethibitisha kifo hicho  akibainisha kuwa kimetokea jana asubuhi katika kijiji cha Nronga wilayani Hai.

“Ni kweli kuna mwili wa mwanamke mmoja, mhasibu wa shule ya sekondari Nronga umekutwa pembeni mwa barabara,” amesema akibainisha kuwa uchunguzi wa kifo hicho unaendelea na kwamba mwili umehifadhiwa katika hospitali ya Machame wilayani Hai.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=375&slotname=7825531549&adk=3882026931&adf=2207281001&pi=t.ma~as.7825531549&w=360&lmt=1620801745&rafmt=11&psa=1&format=360×375&url=https%3A%2F%2Fcdn-af.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Fdaa382caa711bba5e264e5a3bfa4f502%3Fac%3D3g%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&fwr=1&wgl=1&dt=1620801743462&bpp=98&bdt=4660&idt=1526&shv=r20210510&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250&nras=1&correlator=4529441271951&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620801745&ga_hid=1690543205&ga_fc=0&rplot=4&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=0&ady=990&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=42530672%2C31060981%2C31060474&oid=3&pvsid=375342945750312&pem=855&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=128&bc=29&ifi=3&uci=a!3&btvi=1&xpc=pTxZ7wqwcX&p=https%3A//cdn-af.feednews.com&dtd=1578

Manchester United 1-2 Leicester: Player ratings as Foxes secure vital three points & hand Man City title

Manchester United 1-2 Leicester: Player ratings as Foxes secure vital three points & hand Man City title

Leicester City took a massive step towards Champions League football with a 2-1 win over a much-rotated Manchester United side – a result which also confirmed Manchester City as champions.

Leicester started brightly and took the lead when Youri Tielemans’ cross was cushioned home on the volley by Luke Thomas for his first Premier League goal. Their lead did not last long though, with Mason Greenwood firing home an equaliser six minutes later.

After the break Leicester turned the screw with Kelechi Iheanacho being denied by a great David de Gea save. Eventually, the visitors went back in front when Soyuncu rose high and powered a header home from a corner.

The victory leaves the Foxes eight points clear of fifth-placed West Ham and nine points clear of Liverpool in sixth, both of whom have games in hand over them.

Here are your player ratings for both teams from Old Trafford.


MANCHESTER UNITED PLAYER RATINGS

1. Goalkeeper & defenders

De Gea was preferred in goal | Pool/Getty Images

David de Gea (GK) – 7/10 – Flapped at a few things early on but made a key save from Iheanacho in the second half.

Brandon Williams (RB) – 5/10 – 
Left Thomas free for the opener. His opposite number kept him busy all game and he rarely ventured forward.

Axel Tuanzebe (CB) – 6/10 – 
Sucked in unnecessarily for Leicester’s opener. Passing was sometimes slack as well.

Eric Bailly (CB) – 7/10 – 
Did not crack under the pressure, playing out from the back competently.

Alex Telles (LB) – 7/10 – 
A good defensive shift. Swung in a few good crosses as well.


2. Midfielders

Matic looked good | PETER POWELL/Getty Images

Donny van de Beek (CM) – 5/10 – Steady but unsensational. Failed to grasp his chance after being handed a rare start.

Nemanja Matic (CM) – 7/10 – Showed great ability on the ball, catching the eye with a few tricks. Also read things excellently, making three interceptions.

Juan Mata (AM) – 5/10 – Had a quiet game. Dropped extremely deep to receive the ball at times, perhaps stunting his effectiveness.


3. Forwards

Greenwood scored once again | DAVE THOMPSON/Getty Images

Amad Diallo (RW) – 6/10 – Made a nuisance of himself but was often muscled off the ball. Set up Greenwood’s goal.

Mason Greenwood (ST) – 8/10 – Really tidy finish to equalise in the first half. Linked things well at times.

Anthony Elanga (LW) – 6/10 – Full of enthusiasm and made some promising looking runs. Not that impactful, though.


4. Substitutes

Cavani could not keep up his recent run of form | Pool/Getty Images

Marcus Rashford – 5/10 – Poor defending for the second goal. Did not get too many chances to attack and when he did Leicester stopped him.

Edinson Cavani – 6/10 – Linked things effectively after coming on.

Bruno Fernandes – 5/10 – Missed a presentable chance in the closing stages.


LEICESTER CITY PLAYER RATINGS

5. Goalkeeper & defenders

Castagne played in a central role | Pool/Getty Images

Kasper Schmeichel (GK) – 5/10 – Should have done much better for the goal. Kicking was poor as well.

Timothy Castagne (CB) – 7/10 – 
Looked classy in a unfamiliar role. His presence allowed his side to switch between a back three and back four in and out of possession.

Caglar Soyuncu (CB) – 7/10 – 
Caught flat-footed for the equaliser. Made up for that with a heroic second-half header.

Wesley Fofana (CB) – 8/10 – 
Always composed on the ball, even when the Leicester midfield were hiding. Defended exceptionally well.


6. Wing-backs & midfielders

Thomas took his goal really well | Michael Regan/Getty Images

Marc Albrighton (RWB) – 7/10 – His delivery was hit and miss all evening but he swung one in for Soyuncu to nod home when it mattered.

Wilfred Ndidi (CM) – 8/10 – Seemed a little hesitant to take the ball off the defence at times. Out of possession he was great, winning it back regularly. Made a few vital interventions in the closing stages.

Youri Tielemans (CM) – 8/10 – Very good. Created the first goal with a fine run and cross. Carved out plenty of other chances as well.

Luke Thomas (LWB) – 8/10 – What a way to score your first Premier League goal. Offered width all evening. Impressive.

Ayoze Perez (AM) – 4/10 – Next to no input. He was a real passenger and Rodgers’ gamble to start him over Maddison did not pay off.


7. Forwards

Iheanacho was one of his side’s brighter sparks | Pool/Getty Images

Jamie Vardy (ST) – 5/10 – Isolated. Failed to capitalise on his meagre opportunities either.

Kelechi Iheanacho (ST) – 6/10 – Tried to make things happen throughout but was occasionally wasteful. Denied by a fine De Gea save in the second half.


8. Substitutes

Maddison did not start | Pool/Getty Images

James Maddison – 5/10 – Not that impactful.

Hamza Choudhury – 6/10 – Replaced Vardy to shore things up in the closing stages.

Leicester City answer (some) questions about fragile mentality with vital Man Utd win

Leicester City answer (some) questions about fragile mentality with vital Man Utd win

Amid all the congratulations sent Manchester City’s way for their title victory, the magnitude of Leicester’s 2-1 win over Manchester United was somewhat lost.

For the Foxes, this was by far and away the biggest result of their season so far. Going into the contest, a darkness was slowly descending on their season like an oil spill, with a 4-2 defeat to Newcastle United last time out seriously denting their Champions League hopes.

The pressure was on Leicester after a poor loss to Newcastle | Michael Regan/Getty Images

There was also a crushing sense of deja vu. Last season Leicester ended 30 consecutive gameweeks inside the top four, only to drop out on the final day of the season. Prior to the United match, they had spent 19 straight gameweeks in the Champions League spots this campaign, and the Newcastle loss suggested that another late collapse could be incoming.

Many have put Leicester’s back-to-back feeble finishes down to a weak mentality. In other words, an inability to handle pressure that may come from the very top. Brendan Rodgers has previous for, ahem, letting things slip, you see. On the evidence of the Foxes’ last two results – the other was a 1-1 draw against ten-man Southampton – this assessment is not unfair.

However, on Tuesday night they answered some of their doubters with a gutsy second-half display that earned them a priceless three points – not that it was plain sailing throughout.

Things started well enough with Leicester getting at United’s makeshift team in wide areas and depriving them of space in midfield. They would be rewarded for their bright beginning as well, with the impressive Luke Thomas cushioning a brilliant first-time volley into the top corner for his first Premier League goal inside ten minutes.

Soon after a lack of concentration and a poor bit of goalkeeping from Kasper Schmeichel allowed United to equalise through Mason Greenwood. For the rest of the first half, Leicester played like a team scared to make a mistake. Wilfred Ndidi was hesitant to receive the ball from the Foxes’ back three, Ayoze Perez was hiding between the lines and even the best player of all-time, Kelechi Iheanacho, was struggling to influence things.

After the break things changed almost immediately. There were no tactical alterations to speak of – what we were witnessing was a mentality shift. The tempo increased, players wanted the ball and United were not given an inch.

Leicester worked hard for their win after the break | Pool/Getty Images

Iheanacho had an effort very well saved from David de Gea and United had their backs to the wall for much of the opening exchanges. They could not keep the rampant Foxes out forever, though, and Caglar Soyuncu – who has come in for his fair share of criticism of late – popped up with a heroic, back-post header to secure victory.

United’s team selection may have done everything short of facing charges of bringing the game into disrepute to help Leicester at Liverpool’s expense in the top four race, but this Foxes side had just lost to Steve Bruce’s Newcastle. Having the bottle to get the job done is still worthy of praise.

Realistically, all Leicester need to do now is win one of their remaining games against Chelsea or Tottenham to make absolutely sure of a top four spot. If Liverpool continue to be bafflingly average, they probably won’t even have to do that. Dilly ding, dilly dong.