
Rais Samia Suluhu ametengeua uteuzi wa Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Hassan Mwang’ombe, pia ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Posta Tanzania Dkt. Harun Kondo na amevunja Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo.