
Donovan Mitchell will miss at least one more week due to a sprained ankle.
Mitchell, who was re-evaluated on Friday, suffered the injury on April 16.
The Nuggets have gone 7-4 without Mitchell.

Donovan Mitchell will miss at least one more week due to a sprained ankle.
Mitchell, who was re-evaluated on Friday, suffered the injury on April 16.
The Nuggets have gone 7-4 without Mitchell.
WACHEZAJI wa kabu kubwa Tanzania – Simba na Yanga zote za jijini Dar es Salaam, wana jambo ambalo hawajaweza kulifanya tangu lilipofanyika mwaka 1977. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=6310719999&adk=3451024743&adf=208388522&pi=t.ma~as.6310719999&w=300&fwrn=7&lmt=1620458963&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Fc902be565b479f78b70cf61548493635%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620458961458&bpp=68&bdt=5663&idt=1679&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=2614487357985&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620458963&ga_hid=1552860684&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=356&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=42530672%2C44739521%2C31060474&oid=3&pvsid=2374208502925421&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeE%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=2&uci=a!2&xpc=ZCKv1ykkQn&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1768
Jambo hilo ni rekodi ya hat-trick iliyofanywa na mchezaji wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni ‘King Kibaden’ tarehe 19 Julai 1977, dhidi ya hasimu wao Yanga.
Katika mchezo huo, Kibadeni aliifunga Yanga bao tatu kuanzia dakika ya za 10, 42 na 89 ambapo mchezo huo ulimalizika kwa Yanga kufungwa bao 6-0.
Tangu mwaka huo, hakuna mchezaji yeyote aliyewahi kufunga bao tatu katika mechi zinazokutanisha watani hao wa jadi.
Mpaka sasa, rekodi zinaonesha Simba na Yanga zimekutana mara 105, ambapo Yanga ameshinda mara 37, Simba 31 sare zikiwa 37.

RAHA ya mchezo wa Simba na Yanga hupatikana nje na ndani ya uwanja, huku nje ni tambo za mashabiki na wasemaji na ndani ya uwanja ni pale mmoja anapofungwa.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=6310719999&adk=3451024743&adf=1714497853&pi=t.ma~as.6310719999&w=300&fwrn=7&lmt=1620458800&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Fea80170680a7595595d0091cfcd70c06%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620458800062&bpp=24&bdt=10939&idt=849&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=5765427706950&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620458801&ga_hid=1506770688&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=352&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=42530672%2C44739524%2C31060930%2C31060474&oid=3&pvsid=3673269113792036&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeE%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=2&uci=a!2&xpc=ThFImaE7mo&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=919
Haji Manara, Ofisa Habari wa Simba SC ameweka wazi kuwa miongoni mwa sifa zitakazoipa Simba ushindi kwenye dabi ya leo dhidi ya Yanga ni kwa sababu kocha wao, Didier Gomes Da Rosa anawajua sana wachezaji wa Yanga kuliko hata kocha wao anavyowafahamu wachezaji wa Simba.
Manara aliyasema hayo jana alipotinga studio za Global Radio na kufanya mahojiano kwa urefu kuelekea kwenye dabi hiyo.Ofisa habari huyo alisema moja ya mbinu ambazo Gomes anatumia ili kupata ushindi ni yeye pamoja na benchi lake la ufundi ni kutenga muda kwa ajili ya kusoma wapinzani wao na hiyo ni sababu kubwa sana yake yeye kujua sana wachezaji wa Yanga.“Gomes ni mtu wa mpira.
Kama mwalimu, kila wakati anawasoma wapinzani wake kabla ya kukutana nao. Yeye ni bingwa wa kubadilisha mbinu kutokana na aina ya wapinzani wake na mchezo wenyewe. “Nina uhakika kuwa Gomes anawajua wachezaji wa Yanga kuliko hata Nabi anavyowajua wachezaji wake, na hii ndiyo itakuwa sababu kubwa ya Simba SC kupata ushindi kesho,” alisema Manara.
Baada ya kutamba kuwa kocha Gomes ni fundi wa mbinu na anawajua vema Yanga, Manara alisema kama mchezo huo utakuwa hauna ujanjaujanja basi Yanga anakufa 4-0 huku akipigiwa mpira mwingi sana.“Yanga anafungwa mabao 4-0, kama hakuna ujanja ujanja, wala zile sijui refa kapuliza filimbi bila sababu, wala kujifanya kubalansi muda, wanakufa nne, yaani hicho ni kiwango cha chini lakini vinginevyo watakufa nyingi zaidi.
MORRISON KUFANYA BALAA NZITO“
Morrison (Bernard) amelibeba balaa, dakika atakazokaa uwanjani ni hatari kwa sababu kwenye nchi hii hakuna mchezaji mwenye uchu kama Morrison. Yule ni mchezaji pekee ambaye akili yake huwa inawaza kwenda golini tu, sasa sijui kama ataanza au vipi lakini hata akipewa dakika 12 itakuwa ni balaa.
HANA PRESHA, ATOA ONYO KWA WAAMUZI
“Sina presha ya kucheza na Yanga, presha yangu huwa pale tunapocheza na timu kubwa kama Al Ahly au Kaizer Chiefs, lakini siyo Yanga kwa sababu mara zote wanashinda kwa ujanja.“Hakuna mchezaji ambaye tunaweza kumuhofia ndani ya Yanga, ukubwa wa Yanga hauwezi kufikia Al Ahly, Al Merrikh na Vita ambao sisi tumeshacheza nao na tukapata matokeo wakiwa kwao, ije kuwa Yanga bwana!“Tunawaheshimu tu, lakini hatuwezi kuwahofia, wachezaji wa kwenye mechi kama hii, siku moja kabla wanakuwa wanacheza Play Station Game tu kule kimbinu hawana presha.
“Na niseme kitu kimoja, refarii wa kesho (leo) hatutaki kupendelewa, tunataka refarii afuate haki zote (kanuni) 17 za soka. Ikitokea Yanga wametufunga 5-0 na mchezaji wao akafanyiwa faulo kwenye boksi, refa toa penalti na kama kuna kadi nyekundu apewe mchezaji wetu na Simba tufungwe bao sita.
“Lakini sisi tunachotaka ni haki itendeke, asipendelewe wala kudhurumiwa mtu, watu wanataka burudani maana hawa wenzetu tunajua watakuja kugongana kwahiyo refa awe makini.”Ikumbukwe kwamba mzunguko wa kwanza ubao ulisoma Yanga 1-1 Simba ni Michael Sarpong wa Yanga na Joash Onyango wa Simba walicheka na nyavu.
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege nchini limesema linaendelea na uchunguzi ili kubaini kama tuhuma zinazomkabili msanii wa Bongofleva, Abdulaziz Chende (26) na wenzake wawili ni za jinai ili wafikishwe mahakamani.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=6310719999&adk=766198258&adf=215066322&pi=t.ma~as.6310719999&w=300&fwrn=7&lmt=1620458662&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Fdf1fda20d94c5791496329406bdad70b%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620458661804&bpp=40&bdt=6597&idt=1019&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=7208385397562&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620458663&ga_hid=593324775&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=426&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739521%2C31060474%2C44740386&oid=3&pvsid=3519025615766540&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeE%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=2&uci=a!2&xpc=N3CtnPrsZl&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1123
Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa Mei 7, 2021 na Kamanda wa kikosi cha Viwanja vya Ndege nchini, Jeremia Shila kuhusu kuhojiwa na kuachiwa kwa msanii huyo na wenzake kwa tuhuma za kuwashawishi abiria kutopima maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Serikali, wenyeji wanaorejea na wageni kutoka nje wanatakiwa kuwasilisha kipimo kinachothibitisha hawana maambukizi ya Covid-19, huku wanaotoka nchi zenye maambukizi wakitakiwa kupimwa kwa kipimo maalum ambacho kitagharimu Dola 25 za Marekani, sawa na Sh57,500 kwa kila msafiri.
Inadaiwa kuwa Dongo Janja aliyekuwa akitokea Afrika Kusini alipinga kufanya kipimo hicho ambapo kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika, “hii nchi Tanzania bado ina uonevu wa kishamba sana, sidhani kama mama yetu Rais Samia Suluhu anafahamu.. muda huu nafika uwanja wa ndege wa kimataifa nikitokea Afrika Kusini na Afrika Kusini huko nimepima na nina majibu ya corona lakini hawayataki wanataka hela kutupima upya.”https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=8179441687&adk=1315848575&adf=3031297554&pi=t.ma~as.8179441687&w=300&fwrn=7&lmt=1620458663&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Fdf1fda20d94c5791496329406bdad70b%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620458661846&bpp=11&bdt=6638&idt=1182&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250&nras=1&correlator=7208385397562&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620458663&ga_hid=593324775&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=1517&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739521%2C31060474%2C44740386&oid=3&pvsid=3519025615766540&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=3&uci=a!3&btvi=1&xpc=SHXyvb4g3z&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1234
“Sasa ndugu zangu wa Tanzania mimi nina hela lakini sitoi hata kumi…, mniletee uji kituo nitakachokuwepo nikikosekana hewani shughulikeni na Polisi wa uwanja wa ndege.”
Katika maelezo yake Shila amesema jana Alhamisi Mei 6, 2021 saa 10 jioni polisi katika uwanja huo waliwahoji watatu hao waliokuwa wakitokea nchi mbalimbali kwa tuhuma za kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanyiwa kipimo na kulipia kiasi hicho cha fedha.
Jana katika mfululizo wa simulizi ya kesi ya mauaji ya kinyama ya wafanyabiashara watatu wa madini na dereva teksi tuliona mvutano mkubwa wa kisheria kati ya waendesha mashitaka na mawakili wa utetezi baada ya shahidi wa 34 wa Jamhuri, Sajenti Ally Nkya, kuiomba mahakama ipokee mkanda wa picha jongefu (CD) alizopiga maeneo mbali mbali yaliyohusishwa na tukio la mauaji na kuupa jina la Zombe.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=6310719999&adk=2325624191&adf=1214513578&pi=t.ma~as.6310719999&w=300&fwrn=7&lmt=1620458485&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F97675fb9fa4aa20893a22f27c4a26882%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620458484432&bpp=17&bdt=11398&idt=675&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=1585665292776&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620458485&ga_hid=889713594&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=551&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=42530672%2C44739524%2C31060614%2C31060474&oid=3&pvsid=3908213741709779&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=2&uci=a!2&btvi=1&xpc=XJ6Xx0PWSR&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=718
Hatimaye, Jaji Salum Massati alikataa kupokea mkanda huo kama kieleleza baada ya kukubaliana na mawakili wa utetezi kuwa uwasilishwaji wake haukukidhi matakwa ya kisheria.
Shahidi wa 35 katika kesi hiyo alikuwa ni Mlinzi wa Amani, Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kinondoni, Omary Mohamed Abdallah.
Mlinzi wa Amani ni hakimu yeyote wa Mahakama ya Mwanzo. Maelezo yanayotolewa na mtuhumiwa mbele ya Mlinzi wa Amani akikiri kutenda au kuhusika katika kosa analotuhumiwa, huitwa ungamo na linaweza kutumika mahakamani kama ushahidi.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=8179441687&adk=2696039139&adf=3252492002&pi=t.ma~as.8179441687&w=300&fwrn=7&lmt=1620458485&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F97675fb9fa4aa20893a22f27c4a26882%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620458484451&bpp=14&bdt=11416&idt=786&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250&nras=1&correlator=1585665292776&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620458485&ga_hid=889713594&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=1258&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=42530672%2C44739524%2C31060614%2C31060474&oid=3&pvsid=3908213741709779&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=3&uci=a!3&btvi=2&xpc=g2EJp3kROt&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=824
Hakimu Abdallah ndiye aliyechukua maelezo ya mshitakiwa wa 11, Koplo Rashid Lema ambaye aliamua kujisalimisha kwa Jeshi la Polisi akitaka kueleza ukweli wa tukio la mauaji hayo.
Katika ushahidi alioutoa Septemba 23, 2008, hakimu huyo, pamoja na kuwasilisha maelezo ya ungamo la Lema na kusomwa mahakamani hapo kwa sauti, alieleza kuwa katika nafasi yake ya Mlinzi wa Amani amekuwa akipokea watuhumiwa ambao kwa hiari yao wako tayari kukiri makosa wanayotuhumiwa.Are you from Tanzania, United Republic Of? You might qualify for an Online Degree at an American UniversiAmerican Universities For Online Degreesby TaboolaSponsored Links
Alieleza kuwa katika kesi hiyo mtuhumiwa na mshtakiwa wa 11, Koplo Rashid alipelekwa kwake akiwa katika hali nzuri bila mchubuko wowote isipokuwa alama za tattoo tu aliyokuwa ameichora kwenye bega lake la kushoto.
Akiongozwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Alexander Mzikila, Lema alieleza jinsi wachimba madini hao walivyotiwa mbaroni na kundi la askari kutoka vituo vya Chuo Kikuu, Urafiki na Oysterbay wakiwa wazima na jinsi walivyopelekwa katika Msitu wa Pande hadi walivyouawa, huku akikiri kuwa naye alikuwapo maeneo yote ya matukio hayo.https://res.adx.opera.com/pagead/?w=328&h=0&pk=s3349331957248&ct=&uc=true&cc=US&lc=en&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F97675fb9fa4aa20893a22f27c4a26882%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&rf=&cst=UTF-8&title=SmljaG8gbGV0dSBtYWhha2FtYW5pOiBTaGFoaWRpOiBLb3BsbyBMZW1hIGFsaWtpcmkga3VzaHVodWRpYSBtYXVhamkgbmEgYWxpcGFraWEgbWlpbGkgeWEgbWFyZWhlbXUga3dlbnllIGdhcmkgKDUxKSAtIE9wZXJhIE5ld3MgT2ZmaWNpYWw%3D&vr=stories.6chcdn.feednews.com&bl=en-US&sh=640&sw=360&sch=8523&scw=360&scl=0&sct=0&tz=GMT%2B0300&vph=523&vpw=360&debug=false
Wakili Jerome Msemwa: Shahidi, katika confession statement (maelezo ya ungamo) huweza kuuliza maswali?
Wakili: Katika statement ya mshtakiwa wa 11 (Koplo Rashidi Lema) alisema mshtakiwa wa pili (SP Bageni) alikuja akasema wauawe (wahanga)?
Wakili: Ulimuuliza kuna yeyote kati ya askari polisi 15 waliokuwapo walisikia Zombe akisema wachinjwe?
Shahidi: Sikumuuliza.
Wakili: Hukuona umuhimu?
Shahidi: Haukuwepo.
Wakili: Kwa nini hapakuwa na umuhimu?
Shahidi: Kwa sababu alikuja kwa hiari yake mwenyewe.
Wakili: Rashid (mshtakiwa wa 11) alikwambia kuwa Bageni aliambiwa na mshtakiwa wa kwanza (Zombe) wachinjwe, uliamini?
Shahidi: Sikuhitaji kuamini au kutokuamini, kazi yangu ilikuwa ni kuandika tu.
Wakili: Lema alisema aliwahi kusikia Zombe akimwambia hayo Bageni?
Shahidi: Hakuwa akiwasiliana na Zombe ila Bageni ndio alikuwa kiunganishi.
Wakili: Kwa hiyo ni mambo ya kusikia tu?
Shahidi: Ndio.
Wakili: Ulimuuliza njia nyingine ambayo alisikia mazungumzo ya Zombe na Bageni?
Shahidi: Radio call (simu ya upepo).
Wakili: Alisema Zombe alikuwepo eneo la tukio?
Shahidi: Hakumtaja kama alikuwepo.
Wakili: Alikwambia maelezo yake aliyoyatoa polisi ni ya uwongo?
Shahidi: Ndio, mwisho kabisa na yale aliyoyatoa kwenye tume iliyoongozwa na Jaji Kipenka.
Wakili Gaudiozi Ishengoma: Shahidi, unajua jinsi Mlinzi wa Amani anavyochaguliwa?
Shahidi: Najua.
Wakili: Ni vipi?
Shahidi: Ukiwa Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo automatic (moja kwa moja) unakua mlinzi wa amani.
Wakili: Ulimuuliza Koplo Rashid kwa nini aliamua kuja kwako kama Mlinzi wa Amani?
Shahidi: Unamuuliza kama amelazimishwa na kama yuko tayari maelezo yake yatolewe kama ushahidi.
Wakili: Yale mengine aliyoyasema na hukuyaandika ulimweleza ni kwa nini?
Shahidi: Yapi, kwani wewe ulikuwepo? Alihoji shahidi na kusababsha wasikilizaji na wadaiwa kuangua vicheko.
Wakili Majura Magafu: Shahidi, nini maana ya maelezo ya ungamo?
Shahidi: Nafahamu ni maelezo ya mtuhumiwa mbele ya Mlinzi wa Amani.
Wakili: Ya kukiri?
Shahidi: Si kukiri
Wakili: Nini maana ya ungamo?
Shahidi: Kukiri.
Wakili: Kwa hiyo unapoandika maelezo ya ungamo maana yake mtuhumiwa anakiri kosa, kweli au si kweli?
Shahidi: Kweli.
Wakili: Kuna sehemu aliyotamka wazi kuhusika kwenye mauaji hayo katika statement yake?
Shahidi: Hakuna mahali anasema niliua.
Wakili: Lakini Rashid Lema alikuja akituhumiwa kwa shtaka gani?
Shahidi: Mauaji.
Wakili: Kwa hiyo ulitegemea aje kukiri ameua, kweli si kweli?
Shahidi: Nilitegemea hayo.
Wakili: Katika statement (maelezo ya shahidi) kuna mahali alikueleza (mshtakiwa wa 11) kuwa waligawiwa vikatasi vya maelezo namna ya kujieleza (kwenye Tume ya Jaji Kipenka), je, alikitoa au kukionyesha (hicho kikaratasi).
Shahidi: Mbele yangu hakuja na kikaratasi.
Wakili: Hivyo hadi leo hujawahi kuona inavyofanana?
Shahidi: Sijawahi
Wakili: Alikueleza ilikuwa inaelezaje?
Shahidi: Hakueleza.
Wakili: Alikueleza walikuwa askari 15 waliohusishwa katika tukio la mauaji hayo, mbali na Zombe na Bageni kuna wengine aliwataja?
Shahidi: Ndio, Saad, Frank na Rajabu.
Wakili: Alipomtaja Saad, alisema alifanya shughuli gani?
Shahidi: Alipiga risasi (yaani ndiye aliyewapiga risasi zilizowaua wachimba madini hao na dereva teksi).
Wakili Rongne Myovela: Umesema kuwa ulitegemea akiri lakini hakukiri, ulimaanisha nini?
Shahidi: Kwa maana ya kusema aliua.
Wakili: Hiyo statement uliamini ni ungamo?
Shahidi: Niliamini.
Wakili: Ulishangaa hakukiri, lakini uliamini kuwa ni ungamo?
Shahidi: Sikushangaa, alikiri hakukiri nilijua naandika ungamo.
Wakili Denis Msafiri: Shahidi, uliandika lini maelezo yako polisi ili uwe shahidi?
Shahidi: Sikumbuki.
Wakili: Siku hiyo (shahidi aliyoandika maelezo yake polisi) ulionyeshwa statement ya Rashid?
Shahidi: Sikuonyeshwa.
Wakili: Ulitumia maneno yako tu?
Shahidi: Nilikuwa na copy (nakala).
Wakili: Katika maelezo yako ya mwaka huu 2008 ndio naona neno ungamo, ni wapi ulipoandika neno ungamo kwa maelezo ya Rashid?
Shahidi: Hakuna.
Wakili: Kwa hiyo neno ungamo matumizi yake yameanza leo hapa mahakamani?
Shahidi: Ndio.
Wakili: Ni wewe uliyetumia na mshtakiwa hakuambiwa?
Shahidi: Ndio.
Mwendesha mashtaka, Mzikila: Shahidi, umeulizwa kuwa aliyoyaandika Rashid polisi na kwenye tume (ya Ja Kipenka) ni uwongo, alitoa sababu?
Shahidi: Ndio, aliambiwa hivyo ndivyo Jeshi la Polisi lilivyojipanga kueleza.
Mzikila: Umeulizwa na wakili Magafu kuwa katika maelezo ya ungamo hakuna mahali alipokiri kuua, hebu isaidie Mahakama, Rashidi alikuwa anakiri nini?
Shahidi: Kuwa alishuhudia mauaji na alihusika kupakia miili ya (wachimba madini na dereva teksi) kwenye gari.
Mzikila: Ukiwa kama Mlinzi wa Amani mtuhumiwa akiletwa kwako huchukuchukulia maelezo ya namna gani?
Shahidi: Ungamo.
Itaendelea
Na Amiri Kilagalila,Njombe
Wananchi wa mtaa wa Mpeto kata ya Ramadhani mjini Njombe,wameiomba Serikali kuingilia kati kesi ya mtoto wa mtaa huo aliyebakwa akiwa na umri wa miaka 3 mwaka 2018 ambaye kwa sasa ana miaka 5 na kusababishiwa maumivu makali pamoja na kutafutiwa njia mbadala kwa ajili ya haja kubwa na ndogo huku mjomba wake aliyetuhumiwa na kesi hiyo akiwa ameshinda Mahakamani.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=6310719999&adk=3451024743&adf=1714497853&pi=t.ma~as.6310719999&w=300&fwrn=7&lmt=1620458253&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F1ac14de0f95cd8e92bf7193693aba01d%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620458251912&bpp=245&bdt=4206&idt=1311&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=2502825447288&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620458253&ga_hid=872947964&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=344&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=42530672%2C44739524%2C31060474&oid=3&pvsid=2575230211131669&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeE%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=2&uci=a!2&xpc=bsryWYc1Oo&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1437
Aidha wameomba serikali kuwachukulia hatua kali wanaume wabakaji na walawiti wa watoto na kuwasababishia ulemavu kufuatia wahusika waliowengi wa matukio hayo ya kikatili kushikiliwa kwa muda na kisha kuachiwa bila kufanywa chochote.
Hayo yamebainishwa na wananchi hao walipojitekeza katika ofisi ya mtaa huo kuchangia mtoto wa kike aliyefanyiwa kitendo cha ubakaji mwaka 2018 na kupata ulemavu ambao unagharimu fedha nyingi kwaajili ya matibabu katika hospitali ya taifa ya Mhimbili.
“Kwasababu wananchi tumekusanyika hapa kwa maana hiyo jambo hili linafahamika kiserikali,kwa hiyo jambo langi la kwanza nitoe rai kwa vyombo vyote vya serikali juu ya hili swala kwasababu sisi tumeonyesha njia kuwa kuna jambo huku na mtoto anahitaji msaada”alisema Alex Mwalongo mkazi wa mtaa huohttps://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=8179441687&adk=369731748&adf=2791881765&pi=t.ma~as.8179441687&w=300&fwrn=7&lmt=1620458253&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F1ac14de0f95cd8e92bf7193693aba01d%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620458252158&bpp=116&bdt=4452&idt=1354&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250&nras=1&correlator=2502825447288&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620458253&ga_hid=872947964&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=1219&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=42530672%2C44739524%2C31060474&oid=3&pvsid=2575230211131669&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=3&uci=a!3&btvi=1&xpc=yAkfBZlfhs&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1416
Baadhi ya wananchi akiwemo Betrice Malekela mwenyekiti wa UWT wilaya ya Njombe na Erasto Ngole Katibu wa siasa na uenezi wa chama cha mapinduzi mkoa wa Njombe,wamesema kuwa vitendo vya ubakaji vinashamiri mkoani Njombe kutokana na jamii kukaa kimya pindi matukio hayo pamoja na kukkubali kuyamaliza katika ngazi ya familia.
“Tumeona kabisa mtoto huyu alivyofanyiwa kwanza ni mtoto mdogo kwa kweli ni kitendo cha ukatili na familia yake ni duni kwa hiyo hapa leo jamii na wanawake wamejitokeza kwa wingi na kupaza sauti ili jamii ijifunze”Alisema Betrece Malekela
Naye Erasto Ngole alisema “Kwa sisi wanaume hiyo ni aibu,mwanaume ameamua kumbaka mtoto mdogo na wanasema wakati huo akiwa na miaka 3”
Wanafamilia akiwemo mama wa mtoto huyo bi,Atu Mkane pamoja na bibi yake wameeleza namna tukio hilo lilivyotokea pamoja na hatua mbalimbali walizochukua.
“Ilifika saa tisa usiku akaja kuniamsha bibi ake akaniambia mtoto umemchukua nikasema hamna tukatoka nje tukaona mtoto amelala nje akiwa amechanika vibaya mno ndio tukaanza kumpeleka zahanati ya Nyombo na kibena ndio matibabu yaikoanzia”alisema mama wa mtoto.
Zaidi ya shilingi milioni 12 za michango ya wananchi zimepatikana kupitia kampeni ya tunaishi nayo inayoendeshwa na moja ya kiuo cha radio wilayani Njombe na kukabidhiwa mama wa mtoto Hakima Kilowoko mkazi wa Mpeto mjini Njombe,kwa ajili ya matibabu yanayoghalimu zaidi ya milioni nne.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=375&slotname=7825531549&adk=3882026931&adf=3778546804&pi=t.ma~as.7825531549&w=360&lmt=1620458253&rafmt=11&psa=1&format=360×375&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F1ac14de0f95cd8e92bf7193693aba01d%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&fwr=1&wgl=1&dt=1620458252274&bpp=54&bdt=4569&idt=1337&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250%2C300x250&nras=1&correlator=2502825447288&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620458253&ga_hid=872947964&ga_fc=0&rplot=4&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=0&ady=2616&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=42530672%2C44739524%2C31060474&oid=3&pvsid=2575230211131669&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=128&bc=29&ifi=4&uci=a!4&btvi=2&xpc=qIoNc48yQe&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1387
LEO Mei 8, Uwanja wa Mkapa mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba v Yanga unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.
Hiki hapa kikosi cha Simba kinachotarajiwa kuanza leo kusaka pointi tatu kwa mujibu wa gazeti la Championi Jumamosi:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Joash Onyango
Pascal Wawa
Mohamed Hussein
Luis Miqussone
Taddeo Lwanga
Larry Bwalya
Chris Mugalu
Mzamiru Yassin
Clatous Chamahttps://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=300&slotname=6310719999&adk=1073913990&adf=55539757&pi=t.ma~as.6310719999&w=360&lmt=1620458145&rafmt=1&armr=1&psa=1&format=360×300&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F35bfdbc7174c1d3843d0f904b691b8b2%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&fwr=1&rs=1&rh=250&rw=300&rpe=1&resp_fmts=3&sfro=1&wgl=1&dt=1620458143590&bpp=69&bdt=7312&idt=1489&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=2521853471737&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620458144&ga_hid=860282303&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=0&ady=1140&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739524%2C31061033%2C31060474%2C31060839&oid=3&pvsid=2720545732020551&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=128&bc=29&ifi=2&uci=a!2&btvi=1&xpc=VvabcStFjy&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1583https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=375&slotname=7825531549&adk=3882026931&adf=3968692690&pi=t.ma~as.7825531549&w=360&lmt=1620458145&rafmt=11&psa=1&format=360×375&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2F35bfdbc7174c1d3843d0f904b691b8b2%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&fwr=1&wgl=1&dt=1620458143659&bpp=50&bdt=7382&idt=1743&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C360x300&nras=1&correlator=2521853471737&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620458144&ga_hid=860282303&ga_fc=0&rplot=4&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=0&ady=1445&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739524%2C31061033%2C31060474%2C31060839&oid=3&pvsid=2720545732020551&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=128&bc=29&ifi=3&uci=a!3&btvi=2&xpc=J5ef5iMT3S&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1784
MASTAA wawili wa Yanga winga Tuisila Kisinda na mshambuliaji mkongwe Said Ntibazonkiza ‘Saido’ wametoa kauli mbili ambazo kama mabeki wa Simba watazisikia zitawapandisha presha kuelekea mechi ya leo ya watani.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=250&slotname=6310719999&adk=766198258&adf=215066322&pi=t.ma~as.6310719999&w=300&fwrn=7&lmt=1620458016&psa=1&format=300×250&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Fe487c7e7b19cad956618a8697e1e5254%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&wgl=1&dt=1620458016052&bpp=21&bdt=28427&idt=593&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0&nras=1&correlator=1681517678636&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620458017&ga_hid=1680667170&ga_fc=0&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=30&ady=178&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739547%2C44739524%2C31060474%2C44740386&oid=3&pvsid=643905897999797&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CoeE%7C&abl=CS&pfx=0&fu=0&bc=29&ifi=2&uci=a!2&xpc=e4C9MoekYL&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=654
Kwanza walichofanya Yanga kupitia matajiri wao wa GSM ni kama kuwapa mzuka wachezaji wawili Wakongomani Kisinda na Mukoko Tonombe wakimalizana nao kwa fungu dogo la usajili tena kabla ya muda waliokubaliana kufika.
Hatua hiyo ikamfanya winga huyo kuongeza gia mpya kuelekea mchezo huo wa watani na sasa kafungua mdomo akifungukia maandalizi yake.
Kisinda alisema anatambua itakuwa mechi ngumu, lakini kucheza kwake mchezo huo mara ya pili kumempa mzuka wa kujua anatakiwa kufanya kipi katika dakika 90.
“Sasa niko sawa kabisa kiafya na kimchezo, tunaendelea na maandalizi ya mwishomwisho, najua tunakwenda kucheza mechi ngumu lakini kwa sasa sina presha yoyote kuelekea mchezo huo,” alisema Kisinda.Are you from Tanzania, United Republic Of? You might qualify for an Online Degree at an American UniversiAmerican Universities For Online Degreesby TaboolaSponsored Links
“Ile mechi ya kwanza kidogo nilikuwa nataka kujua inakuwa ni mechi ya aina gani, lakini mchezo huu hautakuwa na presha yoyote kwangu, muhimu ni kuwa katika ubora wangu niweze kuisadia timu yangu.”
Kisinda aliongeza kuwa ana shauku ya kucheza mechi kubwa kama hizo ambazo zimekuwa zikitambulisha zaidi makali yake.https://res.adx.opera.com/pagead/?w=328&h=0&pk=s3349331957248&ct=&uc=true&cc=US&lc=en&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Fe487c7e7b19cad956618a8697e1e5254%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&rf=&cst=UTF-8&title=S2lzaW5kYSwgU2FpZG8gd2F0ZW1hIGNoZWNoZSB1bmFhbWJpd2EgLSBPcGVyYSBOZXdzIE9mZmljaWFs&vr=stories.6chcdn.feednews.com&bl=en-US&sh=640&sw=360&sch=3564&scw=360&scl=0&sct=0&tz=GMT%2B0300&vph=523&vpw=360&debug=false
“Nilipokuwa DR Congo wananijua inapokuja tunacheza na Mazembe, huwa napenda kung’aa katika mechi za namna hii, lakini nataka kufanya kazi kubwa zaidi katika mechi hii kuliko nilivyocheza mechi ya mbili zilizopita,” alisema.
MSIKIE SAIDO
Alichosema Saido kwa upande wake ni maneno mafupi tu kwamba wakati wakiwa katika maandalizi ya mwisho kila kitu kipo sawa na kwamba kwa sasa wanasubiri muda wa mchezo tu.https://res.adx.opera.com/pagead/?w=328&h=0&pk=s3480327769472&ct=&uc=true&cc=US&lc=en&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Fe487c7e7b19cad956618a8697e1e5254%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&rf=&cst=UTF-8&title=S2lzaW5kYSwgU2FpZG8gd2F0ZW1hIGNoZWNoZSB1bmFhbWJpd2EgLSBPcGVyYSBOZXdzIE9mZmljaWFs&vr=stories.6chcdn.feednews.com&bl=en-US&sh=640&sw=360&sch=3564&scw=360&scl=0&sct=0&tz=GMT%2B0300&vph=523&vpw=360&debug=false
“Tuko sawasawa hii ni mechi kubwa hapa nilicheza moja kule Zanzibar lakini hii inakuwa muhimu zaisdi kwa ajili ya ligi, tunawaheshumu wapinzani wetu lakini sio kuwaogopa, maandalizi tuliyofanya ni mazuri na yanatupa hamasa muhimu sasa ni kusubiri tu muda wa mchezo,” alisema.
Juzi jioni wakati kikosi hicho kikiendelea na mazoezi vigogo kutoka upande wa uongozi wakiongozwa na mwenyekiti wa klabu, Dk Mshindo Msola, Senzo Mazingisa na wajumbe wa kamati ya utendaji wakiambatana pia na mkurugezi wa Uwekezaji wa GSM, Hersi Said walitua mazoezini.
Vigogo hao walishuhudia mazoezi hayo wakati kocha Nesreddine Nabi akiendelea kupanga silaha zake, kisha baada ya mazoezi wakapata futari pamoja na kikosi na dua nzito kufanyika.
Vigogo hao waliwaambia wachezaji ujio wao kambini hapo ilikuwa kuangalia maandalizi yanavyoendelea, lakini kutakuwa na kikao rasmi cha kutoa ahadi yao ya ushindi ambayo itawashtua wote.https://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-1883810847636355&output=html&h=375&slotname=7825531549&adk=3882026931&adf=1830052935&pi=t.ma~as.7825531549&w=360&lmt=1620458017&rafmt=11&psa=1&format=360×375&url=https%3A%2F%2Fstories.6chcdn.feednews.com%2Fnews%2Fdetail%2Fe487c7e7b19cad956618a8697e1e5254%3Fac%3D3g%26app_version%3D8.6.2254.56868%26client%3Dnews%26country%3Dtz%26features%3D35183784886029%26lang%3Dsw%26language%3Dsw%26low_perf%3Dtrue%26mode%3Dbody%26picture_less%3Ddisabled%26request_id%3DNEWS_BAR_411c713c-d941-40e8-b4fd-6790e2b3e0fe%26swdp%3D360%26uid%3D5474b3b8f249df4eb9f94c3f468aeb2105058822&flash=0&fwr=1&wgl=1&dt=1620458016088&bpp=20&bdt=28464&idt=1064&shv=r20210505&cbv=%2Fr20190131&ptt=9&saldr=aa&abxe=1&cookie=ID%3D7fc535a6bc1292ef-22758f60c5c70001%3AT%3D1620319191%3ART%3D1620319191%3AS%3DALNI_MZN1MUG1Q9fdb8FCWtW0TeABx4mhg&prev_fmts=0x0%2C300x250%2C300x250%2C300x250&nras=1&correlator=1681517678636&frm=20&pv=1&ga_vid=460988874.1620319159&ga_sid=1620458017&ga_hid=1680667170&ga_fc=0&rplot=4&u_tz=180&u_his=1&u_java=0&u_h=640&u_w=360&u_ah=640&u_aw=360&u_cd=24&u_nplug=0&u_nmime=0&adx=0&ady=3177&biw=360&bih=523&scr_x=0&scr_y=0&eid=44739547%2C44739524%2C31060474%2C44740386&oid=3&pvsid=643905897999797&pem=184&eae=0&fc=1920&brdim=0%2C0%2C0%2C0%2C360%2C0%2C360%2C523%2C360%2C523&vis=1&rsz=%7C%7CeEbr%7C&abl=CS&pfx=0&fu=128&bc=29&ifi=5&uci=a!5&btvi=3&xpc=8rbN5pkNcf&p=https%3A//stories.6chcdn.feednews.com&dtd=1093
WAKATI mwingine kuna changamoto ambazo unaweza kuzipitia, halafu zikawa ni ngazi ya kupandia kufikia mafanikio f’lani.
Hicho ndicho kimetokea kwa staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja na mwanawe, Paula Paul ‘Paula Kajala’ ambao baada ya kukumbana na kashkashi kwenye ile skendo yao na staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, sasa wameula.
Hivi karibuni, Kajala na Paula waliingia kwenye msukosuko ambao bado upo kwenye ngazi ya uchunguzi wa kipolisi wakidaiwa kusambaza video chafu iliyosemekana ni ya Harmonize au Harmo.
Kajala amelithibitishia Gazeti la IJUMAA kwamba, yeye na Paula wamelamba dili nono la kutangaza nguo kutoka Kampuni ya GSM.
“Yote ni mipango ya Mungu na ndiye mtoaji wa riziki hivyo tunamshukuru yeye,” anasema Kajala.Kufuatia ishu hiyo, baadhi ya watu wameibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii, wakisema kwamba, kumbe inawezekana mtu kupitia kwenye changamoto kama ilivyokuwa kwa Kajala na Paula, halafu ikawa ni kama kumpiga chura teke na kumuongezea mwendo ambapo atajikuta amekwenda mbali zaidi.
Nyota hao ni:-Dickson Job beki wa kati anasumbuliwa na nyama za paja ila tayari ameshaanza mazoezi.
Itategemea na maamuzi ya Kocha Mkuu, Nassreddine Nabi kuamua kumtumia ama la.
Carlos Carlinhos kiungo mshambuliaji hayupo fiti baada ya kupata maumivu katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Nelson Mandela.
Yassin Mustapha beki bado hajawa fiti kwa kuwa anatibu majeraha yake aliyopata akiwa na timu ya Taifa ya Tanzania. How To Buy U.S.A Mega Millions Ticket From Your Mobile24lottosby TaboolaSponsored Links
Tuisila Kisinda ana asilimia 50 kuanza kwa kuwa bado alikuwa na maumivu ya bega aliyopata hivi karibuni.
Mapinduzi Balama huyu bado hajawa fiti kwa kuwa alipata majeraha msimu uliopita kwa sasa amepewa program maalumu.